Lissu ninayemfahamu mimi kama wanadhani 'Prima Facie' itamnyenyekeza, wanakosea sana!

Ugomvi wa Lisu Vs Serikali ni kwamba Lisu hataki kunyenyekea, sasa wanataka kumnyenyekeza lakini naye ni mbishi.

Mbaya zaidi Tundu Lisu anaamini yupo upande wa Haki. Hilo linampq nguvu

Ilo la mwisho ni siraha kubwa aliyoshikilia .Lissu ni Magufuli wa aina yako Lissu pia ana element za udikteta flani japokua lissu Exposure yake ni kubwa
 
Huyo shenzy hatakiwi kuwa uraiani,ni vile sikupoteza ndugu oktoba,ningepoteza I personally ningewinda uhai wake

Mathayo 25:10​

Basi, wale wasichana wapumbavu walipokwenda kununua mafuta, bwana arusi akafika, na wale wasichana waliokuwa tayari wakaingia pamoja naye katika jumba la harusi, kisha mlango ukafungwa
 
Umeeleweka P.Kuna uncle wangu aliesoma hapo nae Alikuwa mkweli na alivhokiamini,hamtoi!
 
Unajua kila jambo huwa lina effect yake. Ikitokea ameshindwa kutakuwa na madiliko makubwa hasa wakati itakapofikia hatua wa uwandikaji wa katiba mpya hata kama sio leo wala kesho, kwasababu kesi hii imeonyesha baadhi ya mapungufu ambayo mtuumiwa anakosa vitu flani flani kwa sababu zisizo za msingi katika hii karne ya sasa
 
Viongozi wasio na akili huogopa na kuchukia watu wenye akili nyingi
 
Unachanganya mchele na pumba.

Wapi Chadema wamejimilikisha maridhiano? Wao wametoa msimamo wao kama nyie mnataka kwenda kwenye maridhiano Nendeni.

Suala la Lowassa liliamuliwa na Kamati kuu ya chadema. Ulitaka apuuze jambo lililopitishwa kwa kura na walio wengi? After all kulikuwa na dhana ya ufisadi ndani ya mifumo ya CCM. Mormons Chadema isingempa magari ya kufanya ufisadi. Unaweza kukubaliana nao au usikubaliane nao Lakini hiyo ni hoja mezani.
 
Mueleze kama amekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…