Lissu ninayemfahamu mimi kama wanadhani 'Prima Facie' itamnyenyekeza, wanakosea sana!

Brother nje ya mada, kwa nini Zanzibar hivi sasa hawana uchungu na hela za miradi Zanzibar?
Barabara ya bububu polisi hadi kwa Ngalawa tangu ijengwe haijatimiza miaka 4, sasa inambomolewa, hivi hela zikiwa zako utakuwa huna uchungu nazo?
 
Together we shall make it, we shall conquer the river with the troubled waters.
Cheers.
 
Binafsi naamini Lissu ni muujiza unaoishi duniani, amebeba hatima fulani, kupitia yeye nchi hii itaenda kupata mabadiliko mazuri hasa katiba mpya, tume huru ya uchaguzi nk. Natumai Mwenyezi analo kusudi mahususi kwake, litatimia siku moja hata kama itachukua muda. Na watesi wake wao wenyewe ama vizazi vyao vitashudia ukuu huu wa Mwenyezi aliouweka kwa mja wake
 
Kuna complications ipo siku "wazee" watakaa na kuambiwa it's done and we have to pay the price! Kila njia watayoulizwa haitaleta matokeo hata usawa wa punje ya mchele, ndio watasema wako wapi waliotenda haya? Tulirogwa? Wakati huo majuto ni mjukuu!

Mimi hesabu zote naziona! Naweweseka na kutetemeka midhili ya maono ya kuzimu! Tuliombee sana Taifa letu.
 
Nimesoma heading nimejiuliza, nikakosa jibu.
Hebu tudadavulie kwa nini tukuamini wakati sehemu kubwa ya makala ulizotoa zina mashaka mengi kutoka kwa wapigania haki.

Hatunati na beat, tunatamani sana tusome fikra tunduizi na siyo chorus
 
Nonsense
 
We ndiyo maana Magufuli alikustukia kwamba ni mtunwa hovyo, Ilboru nimesoma mimi tena ikiwa special.school siyo ya wakati wa Lissu hakuna huo upumbavu unaoupamba. Kimsingi umekosa sifa ya kuwa afisa wa mahakama kuu maana umeingilia mahakama na unataka kuilazimisha kwa matakwa yako! Sheria ya nchi hii haijui personality ya mtu, km ni mbishi ni yeye, kufungwa anaweza kufungwa na hakuna kitachotokea. Km kweli ni mwamba asiyeoogopa kufa kwanini aliikimbia nchi mwaka 2020 wakati wa Magu? We ni mpotoshaji, mwongo, tapeli, uwezo wako wa kufanya uchambuzi ni mdogo sana. Anamjaribu Rais Samia labda kwa kuwa ni mzanzibari na ni mwanamke! Huyo lofa anaweza kupotezwa km wengine hakuna cha consequences, hakuna mkubwa kuliko hii nchi. Tena mshukuruni Samia vingine habari zake zingeshasahaulika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…