Lissu ninayemfahamu mimi kama wanadhani 'Prima Facie' itamnyenyekeza, wanakosea sana!

Ungejibu hoja zake hapo ningeamini kweli ulisoma special school na umemzidi uwezo mkuu Pascal Mayalla . Hapa zaidi ni personal attacks kuliko andiko.
 
Sasa sie ambao sio wana wa shule yako umesoma ila misimamamo yetu ni mikali kuliko TL tunafanyaje
 
Tundu Lissu ni nabii wa Tanganyika. Kupambana naye kwa njia waliyochagua kupambana naye ni hatari kwao wao wenyewe!
 
Ninachoamini TL akinyongwa Leo kesho yake nusu ya viongozi wa ccm waliozagaa mitaani watakuwa wamechinjwa kama kuku na hii polisi itawahusu kama kisasi Cha umma kwahiyo sidhani kama watakuwa Rashi kubeba matokeo ya jambo Hilo. TL sio ken sarowiwa hilo walijue.
 
Lisu angekuwa mrahisi, angeshalainika baada ya kulala kitandani kwa muda mrefu akiuguza vidonda vya risasi, badala yake ametoka akiwa imara zaidi. Kipindi cha nyuma nimewahi kumsikiliza kwenye semina fulani, na nilivyomwangalia alikuwa anamaanisha anachosema. Wasiojua wanafikiri watamlegeza msimamo wake, huyu anajua anachofanya na huwezi kumrudisha nyuma.
 
Ndio tatizo la watu mliojaza uchama kwenye ubongo wenu kiasi kwamba mkiona mtu haendeshwi na uchama. Mnampa label au upande

Kwa hiyo unakubaliana nami kuwa Lissu hakuweza kwenda kinyume na chama chake kwa ajili ya kulinda maslahi ya chama chake kuliko ukombozi wa nchi..

So hata na yeye ni mtu wa mfumo, kwamba kama kesho akichaguliwa kuwa rais, tumtegemee naye kuisimika na kuipendelea zaidi chadema hata kama itagharimu mustakabali wa nchi hii.

Sasa kwa minajili hiyo, nyinyi na CCM tofauti yenu ni nini ?.

Sometimes namlaumu Nyerere kwa kuilea political supremacy maana ni tatizo linaliitafuna hii nchi kwa sababu watu wanashindwa kutofautisha maslahi ya Chama na maslahi ya nchi. Kama ambavyo wewe umesema

Halafu CHADEMA si iliepuka na kujitenga na Oct 29 kwamba wao kama chama hawahusiki maana hata wakati yanatokea viongozi wao wakubwa walikuwa ndani. Sasa kwa nini wanaitumia Oct 29 kwenye issue ya Lissu

Au hukumsikia Heche akitamka kwamba hawawezi kuingia kwenye maridhiano mwenyekiti wao akiwa ndani. Huoni hiyo haina tofauti na kusema "hata sisi tunayataka maridhiano kama tu masharti flani yakitimizwa".

Sasa wao kama nani, wao si hawakuwa part ya maandamano kwa nini wasiilazimishe serikali iwe accountable kwa wananchi wake waliothirika, wenye grievances, kwa nini hawaliweki hili mbele kuliko kujiweka kama nafasi muhimu kwenye maridhiano.

Hivi hata mnaelewa mnachokizungumzia..

Kwa kweli acha niwaache wafu mzikane
 
Angalia aina ya watu waliomzunguka upate clues za ukubwa wa tatizo lake!
 
Kama hata ninyi mnakiri kuwa hii kesi imemuongezea umaarufu maradufu basi “ni lazima” atapatikana na hatia.

It’s Lissu vs ego ya watawala.

Tujiandae sote kwa hili.
Lissu kwa sasa ndio sura ya upinzani nchini kwa hiyo hata yeye najua kuna kete anazicheza vizuri kwa sababu akikosea step, political career yake inakufa.

Uzuri ni mmoja. Yeye ndiye ameshikilia makali kwa sababu international community ipo nyuma yake kwa hiyo kesi yake. Si kama zingine za internal affairs kwa hiyo hii inampa upperhand kwenye negotiation zozote

Hivyo kuna namna hii issue nzima ni ya

Ego mbili zilizokutana na zote zina power ya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…