Lissu: Polisi hawana uwezo wa kukaa na Mbowe muda mrefu gerezani. Mbowe na CHADEMA hatutatoa ushirikiano

Ccm hamuishi vituko, nyie si ndo mnataka Mbowe, mpaka mwamtungia kesi ya ajabu, Sasa kaeni nae Cha msingi awe salama ,

KUMUACHIA ni lazima na sio ombi tena, hamtaki kaa nae , Sasa unalalamika sie tukusaidie nini
 
Nchi za wenzenu zipi?
Marekani Republicans wanapambana usiku na mchana kuzuia watu weusi wasipige kura.Kuna maandamano mengi dhidi ya ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi.Trump alikiwa impeached kwa sababu gani kama sio siasa kama hizi tu.

..tuige mazuri ya Wamarekani, mabaya tuachane nayo.

..Kwa mfano tunaweza kuiga mfumo imara wa uchaguzi ambao hata Raisi wa Marekani alishindwa kuulazimisha umpe ushindi.

..Pia kwa Marekani polisi akiuwa raia uchunguzi hufanyika na ikibainika amefanya makosa ndugu wa waliouawa au kudhulumiwa hulipwa fidia.

..Serikali za wenzetu zinapokosea kunakuwepo jitihada za kurekebisha makosa. Kwa Tanzania serikali na CCM wanapokosea zinafanyika jitihada za kulindana na kuwakandamiza zaidi waliodhulumiwa.
 

Mwambie Tundu na yeye aje
Kama selo pazuri mbona yeye kakambia😆
 
Serikali imagharamia mahabusu kibao jela na wafungwa,watashidwaje kumgharamia mbowe,makamandan wameamua kumsusa chairman au?
 
Hivi unaijua njaa wewe????
Hapana.

Ni wewe peke yako ndiye unayeijua njaa; kwa maana maisha yako yote unayaishi kwa sababu ya njaa.
Najuwa hutaelewa haya maneno niliyokuandikia hapa, kwa sababu ya "njaa'!
 
Yuko....

Yuko mitandaoni....

Anaandamana mitandaoni 🤣

#KaziInaendelea
Una kiherehere kama mke wa mjumbe wa nyuma kumi! Kila post Una jibu Wewe tu?! Subiri upepo ugeuke mashambulizi yaanze kuelekezwa huko kwenye #usukumagang!
 
Hakika mbowe ni gaidi si mnaona matamko ya wenzake
 
Mzee wa Matusi ulikuwa wapi kaka?!!

Nilitegemea kupotea KWAKO utanijia na MATUSI MAPYA...[emoji1787]

TUPO MKUU WANGU

#KaziInaendelea
#PundaAfeMzigoUfike
#MzigoNiAmaniYaTanzania
#MzigoNiUtulivuWaTanzania
Kwani kuku describe wewe Bwabwa ni Matusi ?
 
Police wanatii maagizo ya wanasiasa sababu ya katiba chakavu isiyofaa kwa kizazi cha sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…