Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

... huo uamuzi ili uonekane wa kanisa zima na si wa kikundi kidogo cha viongozi ndani ya kanisa ambao wala hawajawahi pigiwa kura kuwa wawakilishi wao wa maamuzi ?
Ukishasema neno 'viongozi', katika muundo wa utawala wa Kanisa hao wote wanakuwa ni wa kuchaguliwa, kuanzia ngazi ya jumuiya, Parokia, Jimbo na Taifa. Kwa hiyo kila unapokutana na kiongozi mlei wa RC basi ujue huyo alichaguliwa kwakupigiwa kura kushika wadhifa huo kwa miaka mitatu, na ni mwakilishi halali wa walei katika ngazi iliyomchagua.
 

Mkuu Kanisa Katoliki liko imara kuliko wewe unavyofikiri na hakuna wakuliyumbisha katika hii Dunia. Hiyo mipasuko unayozungumzia haipo kabisa kwani kanisa lina taratibu zake za kufikia baadhi ya maazimio,na yote yanaheshimika haijalishi walei wameshirikishwa wote au kwa uwakilishi.
 
Wapi nimesema sitaki kujua? Wapi nimesema hatuna Corona Tz?
 
BAVICHA bwana wanapenda sana kutrack movements za Rais maana wanaogopa asije ibukia majumbani mwao na kuwatumbua maana jamaa badala ya kuhudumia familia zao wamezitelekeza na kuhamia mitandaoni kupiga porojo.
Hapo ni aje?!!
 
Sasa hivi Majaliwa anaongoza nchi
 
yametimia, japo panya buku zilitoka stoo na kumkemea Lissu kwamba ni mzushi, sasa zimerudisha mikia sehemu ya kukalia.
 
yametimia, japo panya buku zilitoka stoo na kumkemea Lissu kwamba ni mzushi, sasa zimerudisha mikia sehemu ya kukalia.
Na kwa mara nyingine Lissu kasema mama yupo hostage na nchi inaendeshwa na Majaliwa..

Yetu macho... panya buku kama kawaida yao wnakanusha
 
Kumbe msipomsikia mh Rais Magufuli CHADEMA mnapata tabu.

Leo amesali katika parokia yake kama kawaida.

Nawatakia kwaresma yenye baraka!
Hahahahaha..... Takataka kabisa..

Lissu yule yule kasema Mama yupo Hostages... Tupe maoni yako katika hili
 
Halafu ikifika Oktoba 20, 2025 ndipo waanze kukurupushana ili wajipangane kuchukua nchi!??? Hii ni hatari na nusu.
Aisee...

Tupe maoni yako ...jemedari lissu kasema tena... Mama yupo mateka (Hostages) ya kiakili... Nchi inaongozwa na majaliwa na genge la wahuni wacchache... tupe maoni yako mjoli
 
BAVICHA bwana wanapenda sana kutrack movements za Rais maana wanaogopa asije ibukia majumbani mwao na kuwatumbua maana jamaa badala ya kuhudumia familia zao wamezitelekeza na kuhamia mitandaoni kupiga porojo.
Tupe maoni yako bwashee juu ya kauli ya Jemedari Lissu kuwa Mama Yupo Hostages na nchi inaendeshwa na Majaliwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…