Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze


..kuna wanaodai alifia Kenya.

..tena Nairobi Hospital alipotibiwa Lissu.

..aliyemtonya Lissu kwamba jamaa katangulia ni nani?
 
Wewe kweli umekunywa maji ya bendera!
Uwe unarudi kinyume kinyume kujisoma angalau mara moja moja

Ulitaka nisiwe na akili kama wewe
Hujijuagi hujielewagi upoupo tuu
 
Leo ni Jumapili nyingine. Nimezoea kukutana na mnakasha humu JF au kukutana na mabandiko katika makundi sogozi ya WhatsApp yakiambatana na picha yakionyesha Rais alikoshiriki ibada. Mara nyingine hata akipewa nafasi kutoa neno kanisani.
 
Kumbe msipomsikia mh Rais Magufuli CHADEMA mnapata tabu.

Leo amesali katika parokia yake kama kawaida.

Nawatakia kwaresma yenye baraka!
😢😢😢😐😐😐😐🀨🀨🀨😐😐😢😢
 
Mzilankende Na Kassim Walikuwa Wajanjawajanja
Mara Nitapiga Shangazi Zako, Mara Nitatimua Wabunge Wote Wa Kusini Na Bunge Litaendelea
Mwisho wa siku wana dance pamojaπŸ˜†πŸ˜…πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…