Pole sana! Unajua huyu Tototundu ni mzushi. Anataka kuzusha kama gazeti lilivyozusha juzi likaandika .....The country is plagued by secrecy, paranoia and rumours, including unconfirmed reports that Magufuli himself has been hospitalised and is on a ventilator...... Hili gazeti la sauzi ni wapuuzi tu. Endelea Tanzania & Covid-19: Zanzibar leader Maalim Seif Hamad died just as new dawn was rising over the Indian Ocean archipelagoHivi hii ya kwenda kanisani si la mtu na Mungu wake??... I'm dissapointed
Hivi hii ya kwenda kanisani si la mtu na Mungu wake??... I'm dissapointed
Hapana... nataka akienda kanisani asiambatane na Gerson, Azam TV, ITV et el.... kama ambavyo hajaenda na kina Azam TV hawajaenda...
Hivi unadhani kina JK na Mkapa walikuwa hawasali?
Jeshi imara ni lile lililommìinia risasi 16 na kushindwa kumuua...Unaongea nini wewe mkuu?
Lisu huyu huyu aliekimbilia kwa amsterdam akihofia kitisho cha kwenye simu? Ndio jeshi?
Hili la kumzuia Jiwe ni ndani ya Tanzania yetu,iliyoko Afrika au kuna Tanzania nyingine,labda ipo ulaya/US? 🤣 🤣Wee hujui kabla hajaenda huwa kuna barua inatangulia nyuma siku 7? Na isipojibiwa tayari inajulikana imeshindikana. Na tangu matamko yatolewe na vionvozi wa juu wa makanisa nae kaingia ubaridi maana anaweza enda na asipewe nafasi ya kuzungumza
Ukiona watu wanauliza mambo kama haya huko twitter tafakari .Hivi hii ya kwenda kanisani si la mtu na Mungu wake??... I'm dissapointed
Kule Jimboni Geita kwa King Msukuma, nyungu ni bure tena kaijenga kwa gharama zake !!Nyungu muhimbili ni 5000 unapigwa na nguo zako ukitoka unaendelea na maisha yako.
Hahahaa Rebekita hili swali mbona la uchochezi, we unadhani kwanini vilikuwa havimfuati JK?Nimekuelewa thanks, akitoka huko mafichoni inabidi a reflect, but hivyo vyombo vya habari huwa vinaitwa? Au vinaenda vyenyewe kwenda anaposali?
Ukiona watu wanauliza mambo kama huko twitter tafakari .
Mambo tu ya mtandaoni inawezekana yupo mapumzikoni. Akionekana kwenye uzinduzi watu wana laum, asipo onekana lawama. Dah kweli ubinadamu kazi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiona swali kama hilo limekuja ujue kuna shida sehemu. Lissu n mtu mkubwa na kwa ukubwa wake atakuwa amepata fununu. Msibeze hili[emoji848]
Akitokeaga hadharani huwa tuna mindMnammiss sana Magu asipotokea hadharani ee?
Aiseee!Nini hii kitu?Tanzania kuwa nchi ya kwanza maziwa makuu kupata Rais mwanamke
Nyungu muhimbili ni 5000 unapigwa na nguo zako ukitoka unaendelea na maisha yako.
Kuwa "appointed" tuu ndugu Rebeca 83 .Hivi hii ya kwenda kanisani si la mtu na Mungu wake??... I'm dissapointed
Nyungu muhimbili ni 5000 unapigwa na nguo zako ukitoka unaendelea na maisha yako.