Mhhh tumezoeshwa kuangalia akisali na kuhubiri dada, tena mahubiri yenye mamlaka. Tukiona kimya lazima tuulizeHivi hii ya kwenda kanisani si la mtu na Mungu wake??... I'm dissapointed
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si huwa unasema hukumchagua kuwa rais wako???Rais akiwa kama mtumishi wetu tuna haki ya kujua alipo, yule ni mfanyakazi wa serikali na mshahara analipwa, hivyo asipoonekana ofisi lazima ni wajibu wetu kujuzwa alipo.
Hapana sio kwa Rais, Rais ni taasisi ndiyo sababu anaweza akaamua kusali kanisa lolote au msikiti wowote na akapewa nafasi kibwa kuliko wewe muumini wa kanisa au msikiti husika, pia Raid aingiapo kanisa ni au mikitini huingia na kundi kubwa la watu wasio waumini wa dini husika na hakuna wakuwahoji pia wewe kama uko kwenye msafara wake hauwezi ukaishia nje kama si mfuasi wa dini hiyo, lazima uingie ndani na kuchagua sehemu ya kukaa bila kuhojiwa na mtu.Hivi hii ya kwenda kanisani si la mtu na Mungu wake??... I'm dissapointed
Atarudi tu watu type ile huwa malaika mtoa roho anawaogopaHivi raia walitangazahe kuhusu Lengayi Ole? Mbona kama watu wamepotezea? Au amerudi kwenye afya yake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si huwa unasema hukumchagua kuwa rais wako???
kweli unafiki una rangi nyingi.
unauhakika kama haonekan wewe vipi.kwa hio unataka watu wawe wanashinda tweeter. mtabak na dua la kuku......Rais akiwa kama mtumishi wetu tuna haki ya kujua alipo, yule ni mfanyakazi wa serikali na mshahara analipwa, hivyo asipoonekana ofisi lazima ni wajibu wetu kujuzwa alipo.
Jifunze kusoma, ili uweze kujikita kwenye mada.
Ahsante sana mama kubwa kwa kunigongea Like. Kuna baadhi ya members wakikugongea Like hata kama ulikuwa na njaa unajisikia kushiba.Ukisoma juujuu hutaelewa. Hii ndio Jamii Forums niliyojiunga miaka 10 iliyopita.[emoji120] Akienda letu, asipoenda lake.
Siku hizi amekuwa anaiogopa dom? Mwanzo mlisema anaiogopa dar, alipokuja dar mkasema anaiogopa dom..Mbona Magufuli anaiogopa Dom?
Ahsante sana mama kubwa kwa kunigongea Like. Kuna baadhi ya members wakikugongea Like hata kama ulikuwa na njaa unajisikia kushiba...