Ulitaka akatae fursa?Kitila Mkumbo alimshauri Hayati Dr Magufuli aache kuteua Wana taaluma wa Vyuo vikuu ili wabaki kufundisha vyuoni…alipoteuliwa Yeye akitokea Udsm akashukuru sana na hata zile tuhuma zake za kufoji cheti Makonda zikaisha
Usiseme milele wakati mtu bado yupo hai anaweza akabadili mambo kwa sekunde tu na historia ikasomeka vyengine.Tundu Lissu ni great politician wa upinzani katika kizazi hiki, na historia itamuenzi na kumkumbuka milele.
Sawa.Unataka wapambane vipi mkuu, si unaona badala ya kupambana na CCM wanapambana na polisi? Watapitia wapi hadi wawafikie CCM wakati kuna mitutu ya bunduki na jela na mahakama, n.k., wanavyotakiwa kupambana navyo kabla ya kuwafikia CCM ili wapambane nao ana kwa ana. Au wewe huko uliko huyaoni hayo mkuu?
Sasa kuhusu hayo "yajayo yanayofurahisha", binafsi hapo sikuelewi unamaanisha kitu gani.
EeenHeee. Una maana mama ana hati miliki au siyo?
Bila shaka unatania.
Sasa hivi CCM ilipofikia, huenda hata TLP ya Mrema ikawa nafuu wakipewa nchi watawale. Sidhani kuwa kuna chama kilichodidimia zaidi ya CCM wakati huu.
Ukitaka kujua, wewe washauri tu wasiwahusishe polisi katika kulinda maslahi yao. Hapo ndipo utakapoelewa ninachosema hapa.
Usiseme milele wakati mtu bado yupo hai anaweza akabadili mambo kwa sekunde tu na historia ikasomeka vyengine.
Hili swali angeulizwa Zitto ninayo imani angejibu kinyume chaa LisuAkihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yoyote katika serikali basi atajua kuwa hampendi.
Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wowote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa amezibwa mdomo kwa kutoa mawazo mbadala. Amesema yeye hawezi kuwa ndani ya serikali ili abaki huru kusema mazuri na mabaya ya serikali!
Tundu lissu kwisha nadhan sasa anasubiri huo uteuzi arudi tanzania au awe balozi huko nje amewakilishe mama, hayo majibu kwamba atakuwa hampendi maana yake ni kuzibaziba kile alichokuwa akikiabudu dhidi ya ccm lakini ukweli ni kwamba tanzania upinzani umekufa kabisaAkihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yoyote katika serikali basi atajua kuwa hampendi.
Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wowote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa amezibwa mdomo kwa kutoa mawazo mbadala. Amesema yeye hawezi kuwa ndani ya serikali ili abaki huru kusema mazuri na mabaya ya serikali!
EeeenHeeee!Easy to say so. Lakini akishateuliwa atakwambia katika siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu. Nani asiyependa madaraka?
Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wowote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa amezibwa mdomo kwa kutoa mawazo mbadala. Amesema yeye hawezi kuwa ndani ya serikali ili abaki huru kusema mazuri na mabaya ya serikali!
Sikushindi wewe msubiri teuzi! IGA ya polepole huenda ukakumbukwa! Hivi Bado ni mbunge wa viti maalum?Umechanganyikiwa!
Kumbe unafanya ligi? Pole!Sikushindi wewe msubiri teuzi! IGA ya polepole huenda ukakumbukwa! Hivi Bado ni mbunge wa viti maalum?
Pole wewe uliyelianzisha na Sasa linakushinda kuliendeleza! Uchawa ni mbinu ya kizamani Sana, tumia polepole style ya kuinanga serikali ili wakuone kwenye vijiteuzi vya udas na ukuu wa wilaya!Kumbe unafanya ligi? Pole!
Kumbe naongea kichaa mpumbavu!Pole wewe uliyelianzisha na Sasa linakushinda kuliendeleza! Uchawa ni mbinu ya kizamani Sana, tumia polepole style ya kuinanga serikali ili wakuone kwenye vijiteuzi vya udas na ukuu wa wilaya!
Wenzako kina MWITA na mkumbo wametupwa kulena wanaitamani Sana kurejea shinani ila ndio hivyo wamegeuka kuwa madekio! Wakudadavua, unafeli wapi muunga juhudi mbobezi?
Hayo ndio unayoyajua Kwa kina? Kwa taarifa Yako huna matusi mapya zaidi ya kucopy na kupaste ya wajuba! Umefarijika Sana siyo?Kumbe naongea kichaa mpumbavu!
Shit hole!
Wewe unapakuliwa kinyesi! Usinizoee mimi situmii huo uchafu, kauze mbele mshenzi!Hayo ndio unayoyajua Kwa kina? Kwa taarifa Yako huna matusi mapya zaidi ya kucopy na kupaste ya wajuba! Umefarijika Sana siyo?
Matusi ni dalili ya kuishiwa hoja na pesa! Mrembo wa aina Yako hatukani kwani atakosa mchumba! Utaachika Tena usipochunga! Bladifakeni mchumia tumbo mkubwa! Kajipendeke makaburi ya chato nikukute huko ukimlilia mwendazake!