Lissu: Rais Samia aruhusu au asiruhusu, nakuja kufanya mikutano ya hadhara

Lissu: Rais Samia aruhusu au asiruhusu, nakuja kufanya mikutano ya hadhara

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."
 
Lazima Kieleweke.!

Katiba Mpya ni ya lazima. Hakuna kubembelezana.
🤣🤣Ubabe tu wa JF huo ...

Kamanda MULIRO yupo....
Yupo ANAWASUBIRI.....

Nakumbuka RPC MUROTO aliwaambia DADA NA MAMA ZENU WADOGO WA BAWACHA waende na Kalamu na karatasi DODOMA.....

Maaaweeeee.......

HAKUNA ALIYETOKEA....

Sasa we uvute mbange wako ukutane na FFU....maaaweeeee....

#KaziIendelee
 
Lissu subiri tumefunga maombi kwa ajili ya makuu wa mjengo.

Mama hana shida,mbona amesema amesoma katiba kuwa ni haki yenu ya mikutano,ila anaomba msubiri kidogo.
Mama anapukuta mafaili yanavumbi,si unajua nyumba akiachiwa mwanaume.

TULIA LISSU,MAMA ANA UPENDO.
Aweza kukamata waliokupiga risasi
 
[emoji1787][emoji1787]Ubabe tu wa JF huo ...

Kamanda MULIRO yupo....
Yupo ANAWASUBIRI.....

Nakumbuka RPC MUROTO aliwaambia DADA NA MAMA ZENU WADOGO WA BAWACHA waende na Kalamu na karatasi DODOMA.....

Maaaweeeee.......

HAKUNA ALIYETOKEA....

Sasa we uvute mbange wako ukutane na FFU....maaaweeeee....

#KaziIendelee
Nipo Tayari kwa lolote [emoji58]
 
"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."-Tundu Lissu

Hii sasa ni ile lugha ambayo CCM huwa wanaielewa. Si zile za makanisani.

Cc: BAK Salary Slip Erythrocyte
 
Back
Top Bottom