Lissu: Rais Samia aruhusu au asiruhusu, nakuja kufanya mikutano ya hadhara

Lissu: Rais Samia aruhusu au asiruhusu, nakuja kufanya mikutano ya hadhara


Si kususia chaguzi tu au kuchelea matumizi ya nguvu ikiwa lazima:


Lugha CCM anaelewa ni hizi:

1. Bila katiba mpya au tume huru, hakuna chaguzi.
2. Kama hawataki maelewano kitaumana.

Lugha hizo taslimu ni lugha za watu ambazo CCM atazisikiliza na kuona umuhimu wa maongezi yenye tija.

Typical languages of the people that CCM understands best!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona ulikimbia pale UBUNGO baada ya uchaguzi wa 2020?!!

Mbona TL hakutokea pale?!!!

Mbona Mbowe hakutokea pale?!!

Daadekiiiii KAMANDA MULIRO IN TOWNNNN DIIIIIZIIIIIM......

#KaziIendelee
Hatuishi kwa Historia ya jana si ya leo.
Wait for surprise.
 
Bora iwe hivyo. Kuliko kuendelea kuwa chini ya Katiba Mbovu..!
🤣🤣
Kwa hiyo katiba mpya ikipatikana ndio UTAISHI Kama "mbele" si ndio eee?!!!

Sawa mkuu....

Hata wale vijana waliomuondoa Mubarrak WALISEMA HIVYOHIVYO....

Leo hii wako chini ya FIELD MARSHAL EL SISI pale CAIRO.....🤣🤣
 
Hakuna wa Kukimbia. Hatucheki na Nyani.!

CCM inategemea

(1) kutokuwepo kwa mpambano wa dhati hadi mwisho.
(2) kususiwa kwa chaguzi.


Majibu ya Lissu ni mwiba kwao. Msimamo sahihi:

1. Kitaumana, haturudi nyuma hadi mwisho.
2. Chaguzi as of now hamna.

Hizo ndiyo lugha rasmi ambazo CCM huzielewa vyema.
 
[emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo katiba mpya ikipatikana ndio UTAISHI Kama "mbele" si ndio eee?!!!

Sawa mkuu....

Hata wale vijana waliomuondoa Mubarrak WALISEMA HIVYOHIVYO....

Leo hii wako chini ya FIELD MARSHAL EL SISI pale CAIRO.....[emoji1787][emoji1787]
Hatutakuwa mfano wao. Tunataka mifumo imara.
 
Huyu coward kwanini aliishia Nairobi bila kuja Tanzania?anachokifanya sasa ni hadaa kwa wafadhili wake ili mkono uende kinywani
"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."
 
Hatuishi kwa Historia ya jana si ya leo.
Wait for surprise.

Wanaobeza jitihada za kupata katiba mpya ni:

1. Wasiokuwa na uelewa wa kutosha
2. Wanufaika wa katiba iliyopo.

#1 tunawajibika sote kuwaelimisha.
#2 hamna haja ya kupoteza nguvu na muda nao kwa sasa.


Huo ndiyo ulio uhalisia.
 
Wanaobeza jitihada za kupata katiba mpya ni:

1. Wasiokuwa na uelewa wa kutosha
2. Wanufaika wa katiba iliyopo.

#1 tunawajibika sote kuwaelimisha.
#2 hamna haja ya kupoteza nguvu na muda nao kwa sasa.


Huo ndiyo ulio uhalisia.
Katiba mpya si matakwa ya WATANZANIA WOTE....

MCHAKATO WA KATIBA utakuja kuanzishwa na WATANZANIA WENYEWE....si wanasiasa akina MBOWE NA MZEE BUTIKU....

#KaziIendelee
 
Back
Top Bottom