Lissu: Rais Samia aruhusu au asiruhusu, nakuja kufanya mikutano ya hadhara

CADC4F91-1147-40CA-9F1C-B32534D739E5.jpeg

"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."-Tundu Lissu
 
Kwani ameshahakishiwa usalama?
 
🤣🤣Mbona hiyo SHARI hamkuita guliza AWAMU YA 5?!!! Baaambaaaash....

Hamna lolote ninyi.....

Mlishindwa kuandamana kutokea pale UBUNGO......mtaweza lini tena ?!!!!🤣🤣

KAMANDA MULIRO YUKO DIZIM....

Huyo anaropoka tu....
 
Back
Top Bottom