kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Hivi hawa watu kwa nini hawana akili hawa?
Hata kama mnatumika na watu wa system wasiomuunga mkono Mh Rais,mmeshindwa kutumia akili zenu hata kidogo?
Asee chadema mnakera sana.
Mimi sikuwa namuunga mkono Magu kwa siasa zake za kuwachukulia wapinzani kama waasi,ila sasa naanza kumwelewa haswaa!Kabisa you deserved.
Sikuwahi kuiunga mkono CCM lakini sasa nataka nikachukue kadi kabisa.
Siwezi kuunga mkono ujinga mnaotaka kuuobesha kwa mama

"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."