Lissu: Rais Samia aruhusu au asiruhusu, nakuja kufanya mikutano ya hadhara

Lissu: Rais Samia aruhusu au asiruhusu, nakuja kufanya mikutano ya hadhara

🤣🤣Ubabe tu wa JF huo ...

Kamanda MULIRO yupo....
Yupo ANAWASUBIRI.....

Nakumbuka RPC MUROTO aliwaambia DADA NA MAMA ZENU WADOGO WA BAWACHA waende na Kalamu na karatasi DODOMA.....

Maaaweeeee.......

HAKUNA ALIYETOKEA....

Sasa we uvute mbange wako ukutane na FFU....maaaweeeee....

#KaziIendelee
Umesahau ubabe Wa Lisu,wakati Wa kampeni hapa nyamongo walimzuia noma aliyoleta ni balaaa,ubabe Wa huyu jamaa magufuli hasogelei.
 
Mikutano hiyo mwisho wa siku huishia kua maandamano afu inaleta vurugu na kuhatarisha usalama wa nchi.

Yaani polisi waache ku deal na wahalifu waanze kulinda mikutano ya akina Mbowe na Lisu? Hatuna huo mda
Jiulize uchizi wacc ,polisi mmoja analinda watu 2000 ,juuluze hapa chadema ijipange vizuri tu
 
"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."
Simba mwenda pole siye mla nyama
 
"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."
Ni tahadhali tu na matamko haya na lugha zake.

Unaweza kukuta mama anajizolea 'sympathy' hata toka sehemu zisizotarajiwa.

Kudai haki siyo lazima kuwa 'confrontational' kila wakati.
 
Domo domo domo, 🥱🥱🥱, kama Tuco kwenye "The good the bad and the ugly" ...don't talk just shoot...
 
Dooh huyu si aliondoka chini ya uangalizi wa balozi wa ujerumani huyu baada ya watu kugoma kuingia barabarani Leo anataka tena kuingiza watu barabarani !?
Wabongo kila mtu anapenda bata.

Nani wa kuingia barabarani🤣
 
Kuna watu wababe kweli kweli nchi hii. TAL anataka kuzichapa hadharani na SSH.

Ngoja tusubirie hili pambano ila namkumbusha mtu mzima hatishiwi nyau.
 
Siasa za Majukwaani zinalindwa na Katiba hii ya zamani
mjdontknow.png
 
Iwe kwa Shari au iwe kwe kheri...
Alafu kikishanuka yeye anakimbilia kwa mabeberu kuhifadhiwa kama kinda...

Sawa aje kujaribu ujinga wake aone...
 
Chief lugha hiyo sio type yako, relax wasikutoe kwenye reli.
Hizi lugha ndiyo type yake mkuu,kwani ndiyo lugha hutumiwa na waganga na wachawi.Na ndugu MSHANA ndio sangoma mkuu humu
 
Iwe kwa Shari au iwe kwe kheri...
Alafu kikishanuka yeye anakimbilia kwa mabeberu kuhifadhiwa kama kinda...

Sawa aje kujaribu ujinga wake aone...
Na akija huku atakupa shida ya kumlinda shemeji yetu MAHONDAW, nahisi naye atapenda kwenda mikutanoni kumsikiliza haka KAJISHUJAA ka chadema
 
Back
Top Bottom