Lissu: Rais Samia aruhusu au asiruhusu, nakuja kufanya mikutano ya hadhara

Lissu: Rais Samia aruhusu au asiruhusu, nakuja kufanya mikutano ya hadhara

Mkuu dunia ina wakazi bilioni 7....sijaletwa DUNIA kutetea wote wanaodhulumiwa....

Ila kama wewe ni "hero" sheikh wangu basi kila la kheri akhui.....

HERI YA MAJI NUSU GLASS YANAYOPATIKANA BILA "TUG OF WAR" KULIKO GLASS NZIMA!!
They will call you coward. But don't bother, let them!

You know what you are doing, unfortunately they don't and that is the difference.
 
Vijana msidanganyike na hawa wanasiasa wasaka madaraka, Lusu atakuja huku mfukoni ana tiketi ya ndege kikinuka tu anakimbia.
 
Wala asihofu yeye aje tuu ila asijekimbilia ubalozini tena na awamu hii hatofika atakuwa kanaswa.

Katiba mpya sio takwa la chadema wala sio kwa faida ya chadema,kama hiyo ndio Katiba mnataka tafadhari mtupishe
 
"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."
Na hapo kwa Shari ndio pazuri aje atangulie mbele asiwe anaongelea Twitter
 
Vijana msidanganyike na hawa wanasiasa wasaka madaraka, Lusu atakuja huku mfukoni ana tiketi ya ndege kikinuka tu anakimbia.
Wapuuzi tuu hao afu hakuna mjinga atakubali kuvunjwa miguu na kusweka jela eti kumpigania Lisu,Mbowe na genge lao 😆😆😆😆
 
Hawa watu wamedekezwa sana.

Hii achia achia uamsho,etc inawapa watu confidences ya kusema kaa shari,atake asitake ...

Mnamchezea sana Mama SASHA.
 
Humjui lisu tuulize tuliesoma nae ,bingwa kwelikweli wa vitendo mama achague moja kufa au kumuua lisu nakikwete hatakubali lisu afe
Kwa nini afe? Yote hiyo ya nini? Yeye atapata uzoefu kwa Mashekh wa uamsho tuu 😂😂😂😂
 
Sasa kwa mfano CHADEMA wakifanya hiyo mikutano ya hadhara kudai katiba mpya usiku na mchana, Rais akaamua kukaa kimya kwenye swala la Katiba mpaka akamaliza awamu hii, chadema watafanyaje zaidi?
Mikutano hiyo mwisho wa siku huishia kua maandamano afu inaleta vurugu na kuhatarisha usalama wa nchi.

Yaani polisi waache ku deal na wahalifu waanze kulinda mikutano ya akina Mbowe na Lisu? Hatuna huo mda
 
"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."
Tutafanya tu , na katiba hakuna wa kuizuia asema bwana na ilisha kuwa, asante mungu kwa afya tele KWA mh lissu na rais mpakwa mafuta ajae Kama sio leo kesho , huzungumza nami mengi bwana na imekuwa mwaminifu Sana kwangu,umekua up to date Sana kwangu, nami nasema shukran Mungu wangu
 
Back
Top Bottom