Lissu: Rais Samia aruhusu au asiruhusu, nakuja kufanya mikutano ya hadhara

Lissu: Rais Samia aruhusu au asiruhusu, nakuja kufanya mikutano ya hadhara

Atakayeiharibu Amani ya nchi ni mwananchi mwenyewe, ila vyombo vya dola havitokubali awe makini
 
Amenogeshwa na Amsterdam sasa anataka kila mtu awe shoger
 
🤣🤣
Warlord nyuma ya KEYBOARD....

Tuendelee kubeti tu mkuu....

FFU sio kabisa msela wangu....

Ndugu yangu Bashiru Zembwe hatowasahau MILELE kipindi kile cha CUF....

Yuko na baiskeli yake ya MAGURUDUMU 3.....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Both team to score mkuu 😂😂😂😂
 
Kumbe shujaa magu ndio alikuwa anawaweza ...Sasa hivi hawatumii manguvu Bali ni sindano tu unatangulia mbele
 
Vipi jamaa zetu ile lockdown hamuitaki tena? naona covid 3rd wave iko barabarani.... tunategemea mvae barakoa na kukaa nyumbani...

Hawa wanasiasa wa kibongo sanaa nyingi sanaa..
 
Kwenye mikutano mje na familia zetu sio mnayanguliza watoto wa wezenu lisu njoo na familia yako
 
"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."
A bold statement. Kwanini CCM hawapendi mikutano ya hadhara? kama wao hawapendi waache wengine wafanye.
 
Lissu analazimisha kufuata sheria, nashangaa wengi huku wanamshangaa Lissu kwa kauli yake hiyo, anaevunja sheria siku hizi anaonekana mtu wa kawaida Tz, ila anayelazimisha sheria zifuatwe ndio anaonekana mtu wa ajabu!

#dark nation.
 
Jumbe Hakuna ibadan nzuri kama kutetea wanaodhulumiwa, ndio jihad yenyewe hiyo bro,which Lisu is one of them,hakuna anaepinga kwenye hili,Usishinde msikitini ukaacha dhulma ifanyike kama kina shehe mkuu..
Kila Ibada ina misingi yake ndugu. Usivamie tu mambo!

Umeshauriwa vizuri hapo, sasa wewe shupaza shingo. Tunawaambia tena, mchuma janga hula na wakwao.
 
Back
Top Bottom