Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Kichaa huyu!"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."
Naona kweli siasa inalipa. Kila mtu anataka siasa kufa na kupona. Hata Lissu hataki tena kuwa mwanasheria. Yeye ni siasa tu, hata afe ni sawa! Tusidanganye eti anapigania demokrasia, labda Mtikila ambaye alikuwa anaitafuta hata kupitia mahakamani.