Lissu: Rais Samia aruhusu au asiruhusu, nakuja kufanya mikutano ya hadhara

Lissu: Rais Samia aruhusu au asiruhusu, nakuja kufanya mikutano ya hadhara

"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."
Naona risasi kapona huyu mwache aje.
 
Duuuh.....

Yaani anasema kabisa "IWE KWA SHARI...."

Maaaweeeee

Huyu jamaa huyu....
Huyu jamaa huyu....
Huyu jamaa huyu....

#KaziIendelee
Hii ni vita katangaza asipodhibitiwa ni aibu kwa serikali
 
Kauli kama hizi...halafu kuna wajinga walikuwa wanamlaumu Magufuli. Wajinga kama Lissu unawaachaje? Unatangaza shari katk nchi ambayo mama, dada, kaka na wajomba zako wako wanaishi!
Ni mtu bwege tu! Angekuwa shujaa kiasi hicho cha kuitaka shari, mbona alikimbilia ubalozini? Mbona amekuwa mkaazi wa kudumu ubelgiji?
 
Ndo nachoshangaa yaani Huyu mtu bana si alikuwa analalamika kuhusu usalama wake
Sahizi usalama wake uko imara😂😂😂 kashapona miguu! Awamu hii watalenga “Ndosi” ili mchezo uishe
 
"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."
Thubutu! Huwezi, njoo tuone!
 
H
Lisu hana uoga na ana hoja za msingi...
Lissu Hana uoga, lakini yuko peke yake! Hakuna wafuasi nyuma yake! Sana sana atakuwa na Mwamakula na Ponda! Na siku ikiangukia ijumaa atajitahidi kuvaa kanzu ya kikristu na kofia ya kiislamu! Basi!
 
Wasimamizi wa sheria watakushughulikia hadi uchakae[emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."
Wakati ccm inatafuta maendeleo ya wananchi kiuchumi kwa heri wao wanatafuta katiba kwa shari au heri ya kuweka uchumi mikononi mwa mabwanyenye utafikiri nchi haina katiba. Aje huyo lissu basi kama safari hii hawamvunji miguu.
 
Back
Top Bottom