Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
Katiba mpya ni lazima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumbe Hakuna ibadan nzuri kama kutetea wanaodhulumiwa, ndio jihad yenyewe hiyo bro,which Lisu is one of them,hakuna anaepinga kwenye hili,Usishinde msikitini ukaacha dhulma ifanyike kama kina shehe mkuu..Akhui fanya ibada zako tu usubiri YAUM UL WAIID....
Akhui jipige tu ubweche wako na mke/wakezo usubiri khatima yako.....
Sheikh Mselem bin Aliy Yuko nje.....itafute CLIP yake baada tu ya kutoka RUMANDE....Kuna la kujifunza!!!!
Allah anatulinda sote na nakumbuka maneno ya Rasulullahi SAW alipata kunena "mwenye kupenda kufuata ya watu basi ajiandae kukumbwa nayo"!
Maasalaam!
Sikutegemea mkuu kutokwa na maneno ya namna hii.Kiburi cha uzima.Nakuheshimu sana ila kwa kauli hii busara zako naona zinapukutika.
Hakuna wa Kukimbia. Hatucheki na Nyani.!
Mkuu Kumbe na wewe una upeo mdogo kiasi hicho!!!Cha msingi awe anatangulia yeye mbele wengine tunafuata.
Uchu wa madaraka n mbaya sana
Ndio ukweli wenyewe huo..wewe mimi na wengine siku yetu yaja...tujitahidi kutende mema kuwatendea wenzetu, ktk uislam tunaamin linaweza kuwa shimo la moto au nyumba ya peponi...sasa wewe amuwa mwenyewe unataka liweje Unakumbuka mamia ya watu waliouliwa Rufiji ni mama baba za watu wale thamani walionayo haina tofauti na ya Magufuli.Sikutegemea mkuu kutokwa na maneno ya namna hii.Kiburi cha uzima.Nakuheshimu sana ila kwa kauli hii busara zako naona zinapukutika.
Mkuu dunia ina wakazi bilioni 7....sijaletwa DUNIA kutetea wote wanaodhulumiwa....Jumbe Hakuna ibadan nzuri kama kutetea wanaodhulumiwa, ndio jihad yenyewe hiyo bro,which Lisu is one of them,hakuna anaepinga kwenye hili,Usishinde msikitini ukaacha dhulma ifanyike kama kina shehe mkuu..
Kazi ya kuhukumu ni ya Mungu tu.Mimi na wewe ni mavumbi tu.Hata ukishangilia kifo cha mwingine utakuwa mjinga tu maana hujui kifo chako lini.Ndio ukweli wenyewe huo..wewe mimi na wengine siku yetu yaja...tujitahidi kutende mema kuwatendea wenzetu, ktk uislam tunaamin linaweza kuwa shimo la moto au nyumba ya peponi...sasa wewe amuwa mwenyewe unataka liweje Unakumbuka mamia ya watu waliouliwa Rufiji ni mama baba za watu wale thamani walionayo haina tofauti na ya Magufuli.
Imani kuu 3:Imani ipi ?. Hii ya kina Sabaya kupora watu ndio imani !.
Kweni unajua kilichomkuta JPM?.Sasa kwa mfano CHADEMA wakifanya hiyo mikutano ya hadhara kudai katiba mpya usiku na mchana, Rais akaamua kukaa kimya kwenye swala la Katiba mpaka akamaliza awamu hii, chadema watafanyaje zaidi?
Toothless Bulldog! Ahahahahahahah!!!Ameshahakikishiwa usalama wake?
Aje ila Sasa hivi wale jamaa hawatakosea tena"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."