Lissu: Rais Samia aruhusu au asiruhusu, nakuja kufanya mikutano ya hadhara

Lissu: Rais Samia aruhusu au asiruhusu, nakuja kufanya mikutano ya hadhara

Akhui fanya ibada zako tu usubiri YAUM UL WAIID....

Akhui jipige tu ubweche wako na mke/wakezo usubiri khatima yako.....

Sheikh Mselem bin Aliy Yuko nje.....itafute CLIP yake baada tu ya kutoka RUMANDE....Kuna la kujifunza!!!!

Allah anatulinda sote na nakumbuka maneno ya Rasulullahi SAW alipata kunena "mwenye kupenda kufuata ya watu basi ajiandae kukumbwa nayo"!

Maasalaam!
Jumbe Hakuna ibadan nzuri kama kutetea wanaodhulumiwa, ndio jihad yenyewe hiyo bro,which Lisu is one of them,hakuna anaepinga kwenye hili,Usishinde msikitini ukaacha dhulma ifanyike kama kina shehe mkuu..
 
Natamani limpate kubwa zaidi ya zile risasi ili akili zimkae sawa
 
Cha msingi awe anatangulia yeye mbele wengine tunafuata.
Uchu wa madaraka n mbaya sana
Mkuu Kumbe na wewe una upeo mdogo kiasi hicho!!!

Wapi umeona pameandikwa ANATAKA madaraka!!???

Pande mbili ndiyo mfumo wa uumbaji wa Dunia, Mke, Mume, Tajiri,Maskini, Kifo,Uhai. Utawala Upinzani.

Ndiyo Maana Kuna kambi rasmi bungeni ili kuikosoa serikali, na Kuna wakati serikali inafuata sera za upinzani japo kinyemela.
 
Sikutegemea mkuu kutokwa na maneno ya namna hii.Kiburi cha uzima.Nakuheshimu sana ila kwa kauli hii busara zako naona zinapukutika.
Ndio ukweli wenyewe huo..wewe mimi na wengine siku yetu yaja...tujitahidi kutende mema kuwatendea wenzetu, ktk uislam tunaamin linaweza kuwa shimo la moto au nyumba ya peponi...sasa wewe amuwa mwenyewe unataka liweje Unakumbuka mamia ya watu waliouliwa Rufiji ni mama baba za watu wale thamani walionayo haina tofauti na ya Magufuli.
 
Jumbe Hakuna ibadan nzuri kama kutetea wanaodhulumiwa, ndio jihad yenyewe hiyo bro,which Lisu is one of them,hakuna anaepinga kwenye hili,Usishinde msikitini ukaacha dhulma ifanyike kama kina shehe mkuu..
Mkuu dunia ina wakazi bilioni 7....sijaletwa DUNIA kutetea wote wanaodhulumiwa....

Ila kama wewe ni "hero" sheikh wangu basi kila la kheri akhui.....

HERI YA MAJI NUSU GLASS YANAYOPATIKANA BILA "TUG OF WAR" KULIKO GLASS NZIMA!!
 
Ndio ukweli wenyewe huo..wewe mimi na wengine siku yetu yaja...tujitahidi kutende mema kuwatendea wenzetu, ktk uislam tunaamin linaweza kuwa shimo la moto au nyumba ya peponi...sasa wewe amuwa mwenyewe unataka liweje Unakumbuka mamia ya watu waliouliwa Rufiji ni mama baba za watu wale thamani walionayo haina tofauti na ya Magufuli.
Kazi ya kuhukumu ni ya Mungu tu.Mimi na wewe ni mavumbi tu.Hata ukishangilia kifo cha mwingine utakuwa mjinga tu maana hujui kifo chako lini.
 
Imani ipi ?. Hii ya kina Sabaya kupora watu ndio imani !.
Imani kuu 3:

1)Binadamu wote ni sawa

2)Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa UTU WAKE.

3)Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia sahihi ya kujenga jamii iliyo sawa na huru.

HAYO NDIYO MAANDIKO....
HAYABADILIKI ETI KWA KUWA "baadhi ya wanadamu wezi na wazinifu".....

#MAANDISHIYASIYOFUTIKAUKUTANI
 
Sasa kwa mfano CHADEMA wakifanya hiyo mikutano ya hadhara kudai katiba mpya usiku na mchana, Rais akaamua kukaa kimya kwenye swala la Katiba mpaka akamaliza awamu hii, chadema watafanyaje zaidi?
Kweni unajua kilichomkuta JPM?.
 
"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."
Aje ila Sasa hivi wale jamaa hawatakosea tena
 
Ila kwa style hii ya Mama Samia ya uongozi wapinzani watasubiri sana. Huku mtaani watu wanamkubali sana..!
Sasa techniques zinazotumiwa na hawa wapinzani kwa sasa wanapoteza credibility kwa wananchi wengi hasa wa kawaida.
 
Upinzani upo sana mitandaoni. Na watanzania wanaotumia mitandao ya kijamii hawafiki hata 30%. Hata kama watu wa mitandaoni wote wangekua wapinzani bado CCM ina nafasi kubwa sana hasa kwa utawala huu wa Mama Samia.

(Ukweli unaouma..!)
 
Back
Top Bottom