Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
🤣🤣Ubabe tu wa JF huo ...Lazima Kieleweke.!
Katiba Mpya ni ya lazima. Hakuna kubembelezana.
Mwenye shida nae alishapangiwa majukumu mengineAmeshahakikishiwa usalama wake?
🤣🤣Tunaingia kwenye wimbi jipya la hard politics
Atangulie YEYE na watoto wake MBOWE.....Cha msingi awe anatangulia yeye mbele wengine tunafuata.
Uchu wa madaraka n mbaya sana
We have nothing to fear but fear itself. Rudi, rudi haraka kamanda.Ameshahakikishiwa usalama wake?
Jana alikuwa anawauliza Vijana," mko tayari Vijana"Atangulie YEYE na watoto wake MBOWE.....
Nipo Tayari kwa lolote [emoji58][emoji1787][emoji1787]Ubabe tu wa JF huo ...
Kamanda MULIRO yupo....
Yupo ANAWASUBIRI.....
Nakumbuka RPC MUROTO aliwaambia DADA NA MAMA ZENU WADOGO WA BAWACHA waende na Kalamu na karatasi DODOMA.....
Maaaweeeee.......
HAKUNA ALIYETOKEA....
Sasa we uvute mbange wako ukutane na FFU....maaaweeeee....
#KaziIendelee
"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."-Tundu Lissu
Ndo nachoshangaa yaani Huyu mtu bana si alikuwa analalamika kuhusu usalama wakeAmeshahakikishiwa usalama wake?