Uchaguzi 2020 Lissu shughulika na kuhubiri Sera zinazoenda kuondoa kero za watu, malumbano yatakutoa kwenye reli

Dah Ivi CHADEMA INA WASOMI KWELI hahahh, Yani Mdeka Kweli kweli Maisha nia Kupambana Oooh Kaeni msubilie Lissu aje Awawekee Ugali Mezani Yanii Mnalalamika kila Sikh khaaa Ebu Kuweni Ngangali Bana
 
Utakuwa na hali mbaya sana Magufuli akipita tena kuwa raisi.

Shauri yako punguza chuki.
Magufuli sio malaika, nae anakosea. Mtu huwezi kuwa mwema wakati wote.

achana naye,swala la urais wa magufuli kwa awamu ya pili ni pie.

anajiandalia mateso tu huyo.
 
Kwa hiyo kipele unaona unaakili za kumshauri lissu
 
Anaijua sheria zinazopingana na utii, imani na maadili. Hivi siku hizi kukosa adabu ni sifa njema kwa upinzani?
Elimu yake ni Ile tunaiita bila kuelimika. Kama hawezi kutii bila shurti atashurtishwa
Your browser is not able to display this video.
 
01 October 2020
Moshi mjini, Kilimanjaro
Tanzania

WANANCHI MOSHI WAKESHA NJE YA HOTELI ALIYOFIKIA TUNDU LISSU

 
Kuna watu washaharibika kisaikolojia mambo kama hayo imekuwa ni vitu ambavyo wanapenda kuvisikia.
 

Acha woga, malumbano ya kipindi hiki cha Kampeni ni masuala mtambuka lazima yaongelewe na kupatiwa majibu.

Ukilegea basi hata Kampeni utashindwa kufanya maana kuna makandokando mengi yanatishia Uchaguzi Mkuu huu wa 2020 unaosimamiwa na Tume ya Uchaguzi, Wakurugenzi ma DED na wakuu wengine wa vyombo vya dola na usalama ambao wote ni wateule wa mgombea wa CCM John Magufuli.

Lazima kukomaa nao mpaka kieleweke wagombea kaliba ya Edward Lowasa, Bernard Membe, Dr. Mayrose Majige , Prof. Ibrahim Lipumba hawauwezi mchezo huu mchafu wa CCM Mpya.
 
Du vitisho sio swala la kheri kwa nchi inayoheshimu democracy

mtu anaposema haki isipofuatwa na tume kitaeleweka(hapa anakuwa anakumbusha wajibu).

ila mwingine akisema mtu asiyetii sheria atashurutishwa(anakuwa anatisha watu).

mimi nasema ukweli,dhambi itakayochoma binaadamu wengi siku ya hukumu,ni unafiki pekee.
 
Ilainishe hii hoja kunakitu kimekrick kichwani Ila sijakipata vizuri.
Sijakataa kusimamia haki na ulinzi wa Kura zake nachotaka kusema hapa NI kuwa hayo malumbano ayatafutie hoja chache nzito yasile muda wa kuwaelewesha wapigakura msingi wa sera zake
 
Usitutishe! Mguseni mnuke
 
Hapa ni kuwapuuza na kuwapotezea hayo maccm na matamko yao focus kwenye ishu za watu tu japo wameanza kupiga mabomu ili kutisha watu
 
Mpaka sasa sera za mgombea gani zimekuvutia zaidi?
 
Hawa wanamuelewa sana lisu sijui wewe unakwama wapi kumuelewa?hivi lisu na meko nani anaeleza vizuri sera
 
Hawa ndio hawaelewi mgombea wao anasema Sera gani
 

Nimeshangazwa na misimamo yake

1. Unaulizwa swali la ushoga halafu unapoteza muda muhimu kufafanua vipengele vya sheria kuhusu hilo which is irrelevant kwa wananchi wengi. Angesema next question nimeshalitolea ufafanuzi mara nyingi. Mara sera ya majimbo, vitu vyenye zero impacts to majority of Tanzanians.

2. Anawaita polisi, Magufuli, tume, wajinga kabisa, wapumbavu na waovu. Marais wastaafu wote hawajabaki salama. Sasa ni kweli wanaweza kuwa hivyo. Lakini ili kupata kura hautaji kuongeza maadui. Use decent language, umepewa jukwaa to look presidential, ready for day one to rule elezea utafanya nini zaidi ya CCM.

Kuwe na tofauti na hao unaowatukana.

3.Haki, Uhuru na Maendeleo siyo tu uhuru wa kujieleza, democrasia, uhuru wa kukutana, kufanya siasa, hivyo vitu vitatu pia vinahusu watoto kupata Elimu bure, matibabu, maji safi na salama, kipato halali.

Biashara bila bughudha, kodi (makadilio sahihi) ya ukweli, kutodaiwa rushwa, wakulima kulipwa kwa wakati, kuuza mazao yao popote, umeme wa uhakika, barabara zinazopita mwaka mzima, usafiri wa haraka kama reli, ndege za abiria na mizigo nk.

4. Hakuna haja ya kuwatishia watu utawapeleka The Hague. Kwamba Amsterdam anawaangalia. Nina uhakika kila mtu anajua hivyo
Kwamba UN, USA, EU, AU, SADC, EAC wote wanaangalia.

Angejikita zaidi kuongelea sera, jinsi gani Chadema itayafanya mambo ikipewa dola tofauti na CCM.

Hata kama Tanzania Taasisi ya Urais, TISS, Jeshi la Polisi ni wajinga, sidhani kama Watanzania wengi watapendezwa kumuona Rais akihukumiwa ughaibuni. Kama kuna hukumu ifanyike hapa hapa Tanzania.

Siyo kwenye mahakama inayowahukumu only viongozi wa dunia ya tatu, wakati mauaji ya kutisha yanaendelea Yemen, Syria, Iraq, Libya, Azerbaijan, ukiukwaji wa haki za binadamu unaendelea Saudi Arabia, Russia, China, North Korea, Iran nk.

Rai kwa Polisi waache Chadema wafanye mikutano yao kwa amani, ni muhimu kutowapa hawa wazungu sababu yoyote za kutuwekea vikwazo. Hata kama Chadema wakishinda hiyo 20% -30% (DW) watangazwe. Ni muhimu pia uwe free, fair, transparent and Credible.
 
Mahera umefika hadi huku!
 
Usimpangie mgombea mambo ya kusema,jambo la muhimu na havunji sheria,hakandamizi watu na hawagawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…