Uchaguzi 2020 Lissu shughulika na kuhubiri Sera zinazoenda kuondoa kero za watu, malumbano yatakutoa kwenye reli

Uchaguzi 2020 Lissu shughulika na kuhubiri Sera zinazoenda kuondoa kero za watu, malumbano yatakutoa kwenye reli

Usimpangie mgombea mambo ya kusema,jambo la muhimu na havunji sheria,hakandamizi watu na hawagawi.
Muda NI mchache Sana adili na Sera haya malumbano yanawanyima watu fursa ya kuelewa Sera zake
 
Back
Top Bottom