MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Huyu Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, waarabu kila kukicha wanajaribu kuingia ulaya bila mafanikio pamoja na kuwa na sifa sahihi za kuwa wakimbizi.
Ndani ya muda mchache na kupitia connection zake umoja wa Ulaya, Lissu amefanikiwa kumpatia karatasi zote muhimu kumfanya kijana Sativa kuishi ulaya.
Wakati tukielekea kwenye Uchaguzi, Chadema inahitaji mwenyekiti mwenye ushawishi mkubwa mkubwa nchi za magharibi hasahasa umoja wa ulaya. Hii itasaidia kupush agenda za chama na nchi katika meza za maamuzi huko duniani.
Lissu ni Yeye.