Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Ungependa iwe vipi kwa maoni yakoHuyu ameshakuwa wakala wa mashirika ya kijasusi ya magharibi, maslahi ya Tanzania hayako moyoni mwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungependa iwe vipi kwa maoni yakoHuyu ameshakuwa wakala wa mashirika ya kijasusi ya magharibi, maslahi ya Tanzania hayako moyoni mwake
Je dikteta Magufuli aliyembishia na kumgombeza mhandisi kuhusu kuweka lift kwenye jengo la ghorofa la umma ambayo ni requirement ndio alitambua mifumo?Tatizo kubwa la Mh. Lisu ni moja tu. Ni mtu asiyefahamu maana ya mifumo, hana tofauti na ma dikiteta wengine kama mbowe. Hilo chama mfu halina uongozi kabisa
Nchi itauzwa mara mbili?! Mbona bado wako Dodoma Lumumba na Kizimkazi.ni hatari sana mtu wa namna hiyo huwenda akaiuza nchi na kutokomea ubeligiji
Waarabu ni kizazi cha nyoka ulaya yote wanawaogopa sasa hivi,wamemponza Waziri mkuu wa Canada sasa hivi anataka kujiuzulu, yaani hata viza mwarabu hapewi hovyo hovyo Tofauti na weusi,hayo ni magaidiHuyu Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, waarabu kila kukicha wanajaribu kuingia ulaya bila mafanikio pamoja na kuwa na sifa sahihi za kuwa wakimbizi.
Ndani ya muda mchache na kupitia connection zake umoja wa Ulaya, Lissu amefanikiwa kumpatia karatasi zote muhimu kumfanya kijana Sativa kuishi ulaya.
Wakati tukielekea kwenye Uchaguzi, Chadema inahitaji mwenyekiti mwenye ushawishi mkubwa mkubwa nchi za magharibi hasahasa umoja wa ulaya. Hii itasaidia kupush agenda za chama na nchi katika meza za maamuzi huko duniani.
Lissu ni Yeye.waa
Kama ndani usalama wake ni mdogo sasa atafanyaje?werevu ni kushiriki kutorosha raia wa nchi kihunihuni
Mkuu ili Nchi ipate afya, watu kama Lissu ni muhimu, na watu dizaini ya Lissu wapo tangu kuumbwa kwa duniaHuyu ameshakuwa wakala wa mashirika ya kijasusi ya magharibi, maslahi ya Tanzania hayako moyoni mwake
Sawa mkuuMimi nacho jua Lissu anapendwa na watanzania ambao hawapendi mambo ya unafiki au ndumila kuwili sie mambo ya ulaya hayatuhusu tunahitaji chama pizani dhabiti sio cha kupiga deal za maridhiano
😄 kama Prince Andrew anavyotusumbua huku etiHuyu ameshakuwa wakala wa mashirika ya kijasusi ya magharibi, maslahi ya Tanzania hayako moyoni mwake
Kama unadhani Sativa au Tundu Lissu atakuwa happier kuishi Ubelgiji kuliko Tanzania basi huna exposure, hujawahi kutoka nje ya Tanzania.ni hatari sana mtu wa namna hiyo huwenda akaiuza nchi na kutokomea ubeligiji
Kama maslahi yako wewe ni uuzwaji wa rasilimali za nchi kwa malipo ya rushwa, lazima utamwona Lisu hafai, maana yeye ni kinyume cha uovu.Huyu ameshakuwa wakala wa mashirika ya kijasusi ya magharibi, maslahi ya Tanzania hayako moyoni mwake
Chama cha kishetani ni CCM tu hapa Tanzania!Tatizo kubwa la Mh. Lisu ni moja tu. Ni mtu asiyefahamu maana ya mifumo, hana tofauti na ma dikiteta wengine kama mbowe. Hilo chama mfu halina uongozi kabisa
Marighiano gani wengine wanapeqa pesa na wanakula na familia zao?Neno maridhiano ktk siasa ni utapeli na kuhadaa wananachi
Maridhiano ni sawa na mtu kukubali utumwa wa akili na kukosa msimamo
Marighiano gani wengine wanapeqa pesa na wanakula na familia zao?
Mkuu nilisikitika kusikia kuwa ccm inawatumia wakubwa cdm kupanga safu ya uongozi kwenye kanda.Ndio maana Sina Imani na vyama vya upinzani, wote ni mamluki
He run for his life nothing elseKama unadhani Sativa au Tundu Lissu atakuwa happier kuishi Ubelgiji kuliko Tanzania basi huna exposure, hujawahi toka nje.
Au wewe ni social-economic and educational reject hapa Tanzania, kwa hiyo popote pale nje ya Tanzania you will be better-off!
Si kila Mtanzania ana ndoto ya kuishi uhamishoni Ubelgiji.
CaseHuyu Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, waarabu kila kukicha wanajaribu kuingia ulaya bila mafanikio pamoja na kuwa na sifa sahihi za kuwa wakimbizi.
Ndani ya muda mchache na kupitia connection zake umoja wa Ulaya, Lissu amefanikiwa kumpatia karatasi zote muhimu kumfanya kijana Sativa kuishi ulaya.
Wakati tukielekea kwenye Uchaguzi, Chadema inahitaji mwenyekiti mwenye ushawishi mkubwa mkubwa nchi za magharibi hasahasa umoja wa ulaya. Hii itasaidia kupush agenda za chama na nchi katika meza za maamuzi huko duniani.
Lissu ni Yeye.
Ila yule jamaa katika watu walioweza kumjibu Magufuli bila kiburi na kumfanya Magufuli aonekane mjinga naye yumo.Je dikteta Magufuli aliyembishia na kumgombeza mhandisi kuhusu kuweka lift kwenye jengo la ghorofa la umma ambayo ni requirement ndio alitambua mifumo?
Mkuu nilisikitika kusikia kuwa ccm inawatumia wakubwa cdm kupanga safu ya uongozi kwenye kanda.
Mfano mzuri Msigwa alipewa 300m kupanga safu yake kabla hajabwagwa.
Alikuwa analipia wajumbe hotel na posho.
Hii ni hatari sana
Mawakala hatari kwa ustawi wa nchi na wananchi ni wale wanaouza rasilimali za nchi kwa kisingizio cha uwekezaji. Mbona huwasemi hao?Huyu ameshakuwa wakala wa mashirika ya kijasusi ya magharibi, maslahi ya Tanzania hayako moyoni mwake