Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, ndani ya miezi miwili kafanikisha kumpatia Sativa vibali vya kuishi Ubelgiji.

Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, ndani ya miezi miwili kafanikisha kumpatia Sativa vibali vya kuishi Ubelgiji.

Tatizo kubwa la Mh. Lisu ni moja tu. Ni mtu asiyefahamu maana ya mifumo, hana tofauti na ma dikiteta wengine kama mbowe. Hilo chama mfu halina uongozi kabisa
Je dikteta Magufuli aliyembishia na kumgombeza mhandisi kuhusu kuweka lift kwenye jengo la ghorofa la umma ambayo ni requirement ndio alitambua mifumo?
 
W
Huyu Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, waarabu kila kukicha wanajaribu kuingia ulaya bila mafanikio pamoja na kuwa na sifa sahihi za kuwa wakimbizi.
Ndani ya muda mchache na kupitia connection zake umoja wa Ulaya, Lissu amefanikiwa kumpatia karatasi zote muhimu kumfanya kijana Sativa kuishi ulaya.
Wakati tukielekea kwenye Uchaguzi, Chadema inahitaji mwenyekiti mwenye ushawishi mkubwa mkubwa nchi za magharibi hasahasa umoja wa ulaya. Hii itasaidia kupush agenda za chama na nchi katika meza za maamuzi huko duniani.
Lissu ni Yeye.waa
Waarabu ni kizazi cha nyoka ulaya yote wanawaogopa sasa hivi,wamemponza Waziri mkuu wa Canada sasa hivi anataka kujiuzulu, yaani hata viza mwarabu hapewi hovyo hovyo Tofauti na weusi,hayo ni magaidi
 
Mimi nacho jua Lissu anapendwa na watanzania ambao hawapendi mambo ya unafiki au ndumila kuwili sie mambo ya ulaya hayatuhusu tunahitaji chama pizani dhabiti sio cha kupiga deal za maridhiano
Sawa mkuu
 
Hata huku Prince Andrew anatusumbua
Huyu ameshakuwa wakala wa mashirika ya kijasusi ya magharibi, maslahi ya Tanzania hayako moyoni mwake
😄 kama Prince Andrew anavyotusumbua huku eti
Pamoja na kuwa Royal Family ila ni nyoka
Mpaka familia wamemtenga asishiriki sherehe ya pamoja ya Xmas
 
ni hatari sana mtu wa namna hiyo huwenda akaiuza nchi na kutokomea ubeligiji
Kama unadhani Sativa au Tundu Lissu atakuwa happier kuishi Ubelgiji kuliko Tanzania basi huna exposure, hujawahi kutoka nje ya Tanzania.

Au wewe ni social-economic and educational reject hapa Tanzania, kwa hiyo popote pale nje ya Tanzania you will be better-off.

Si kila Mtanzania ana ndoto ya kuishi Ubelgiji.
 
Neno maridhiano ktk siasa ni utapeli na kuhadaa wananachi
Maridhiano ni sawa na mtu kukubali utumwa wa akili na kukosa msimamo
Marighiano gani wengine wanapeqa pesa na wanakula na familia zao?
 
Ndio maana Sina Imani na vyama vya upinzani, wote ni mamluki
Mkuu nilisikitika kusikia kuwa ccm inawatumia wakubwa cdm kupanga safu ya uongozi kwenye kanda.
Mfano mzuri Msigwa alipewa 300m kupanga safu yake kabla hajabwagwa.
Alikuwa analipia wajumbe hotel na posho.
Hii ni hatari sana
 
Kama unadhani Sativa au Tundu Lissu atakuwa happier kuishi Ubelgiji kuliko Tanzania basi huna exposure, hujawahi toka nje.

Au wewe ni social-economic and educational reject hapa Tanzania, kwa hiyo popote pale nje ya Tanzania you will be better-off!

Si kila Mtanzania ana ndoto ya kuishi uhamishoni Ubelgiji.
He run for his life nothing else
 
Huyu Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, waarabu kila kukicha wanajaribu kuingia ulaya bila mafanikio pamoja na kuwa na sifa sahihi za kuwa wakimbizi.
Ndani ya muda mchache na kupitia connection zake umoja wa Ulaya, Lissu amefanikiwa kumpatia karatasi zote muhimu kumfanya kijana Sativa kuishi ulaya.
Wakati tukielekea kwenye Uchaguzi, Chadema inahitaji mwenyekiti mwenye ushawishi mkubwa mkubwa nchi za magharibi hasahasa umoja wa ulaya. Hii itasaidia kupush agenda za chama na nchi katika meza za maamuzi huko duniani.
Lissu ni Yeye.
Case
Je dikteta Magufuli aliyembishia na kumgombeza mhandisi kuhusu kuweka lift kwenye jengo la ghorofa la umma ambayo ni requirement ndio alitambua mifumo?
Ila yule jamaa katika watu walioweza kumjibu Magufuli bila kiburi na kumfanya Magufuli aonekane mjinga naye yumo.

Magufuli alitaka kuleta ligi zake akamuuliza kwani nyumbani kwake kuna lift? Jamaa akamjibu nyumbani kwake si ofisi ya umma.

Magufuli alikuwa bonge la mshamba.
 
Mkuu nilisikitika kusikia kuwa ccm inawatumia wakubwa cdm kupanga safu ya uongozi kwenye kanda.
Mfano mzuri Msigwa alipewa 300m kupanga safu yake kabla hajabwagwa.
Alikuwa analipia wajumbe hotel na posho.
Hii ni hatari sana

Bado posho za waandishi wa habari
 
Huyu ameshakuwa wakala wa mashirika ya kijasusi ya magharibi, maslahi ya Tanzania hayako moyoni mwake
Mawakala hatari kwa ustawi wa nchi na wananchi ni wale wanaouza rasilimali za nchi kwa kisingizio cha uwekezaji. Mbona huwasemi hao?
 
Back
Top Bottom