MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mimi nacho jua Lissu anapendwa na watanzania ambao hawapendi mambo ya unafiki au ndumila kuwili sie mambo ya ulaya hayatuhusu tunahitaji chama pizani dhabiti sio cha kupiga deal za maridhianoHuyu Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, waarabu kila kukicha wanajaribu kuingia ulaya bila mafanikio pamoja na kuwa na sifa sahihi za kuwa wakimbizi.
Ndani ya muda mchache na kupitia connection zake umoja wa Ulaya, Lissu amefanikiwa kumpatia karatasi zote muhimu kumfanya kijana Sativa kuishi ulaya.
Wakati tukielekea kwenye Uchaguzi, Chadema inahitaji mwenyekiti mwenye ushawishi mkubwa mkubwa nchi za magharibi hasahasa umoja wa ulaya. Hii itasaidia kupush agenda za chama na nchi katika meza za maamuzi huko duniani.
Lissu ni Yeye.
Upi?Una uhahika?
USHAWISHI WA OMBAOMBA ?Huyu Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, waarabu kila kukicha wanajaribu kuingia ulaya bila mafanikio pamoja na kuwa na sifa sahihi za kuwa wakimbizi.
Ndani ya muda mchache na kupitia connection zake umoja wa Ulaya, Lissu amefanikiwa kumpatia karatasi zote muhimu kumfanya kijana Sativa kuishi ulaya.
Wakati tukielekea kwenye Uchaguzi, Chadema inahitaji mwenyekiti mwenye ushawishi mkubwa mkubwa nchi za magharibi hasahasa umoja wa ulaya. Hii itasaidia kupush agenda za chama na nchi katika meza za maamuzi huko duniani.
Lissu ni Yeye.
Huyu Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, waarabu kila kukicha wanajaribu kuingia ulaya bila mafanikio pamoja na kuwa na sifa sahihi za kuwa wakimbizi.
Ndani ya muda mchache na kupitia connection zake umoja wa Ulaya, Lissu amefanikiwa kumpatia karatasi zote muhimu kumfanya kijana Sativa kuishi ulaya.
Wakati tukielekea kwenye Uchaguzi, Chadema inahitaji mwenyekiti mwenye ushawishi mkubwa mkubwa nchi za magharibi hasahasa umoja wa ulaya. Hii itasaidia kupush agenda za chama na nchi katika meza za maamuzi huko duniani.
Lissu ni Yeye.
Mimi nacho jua Lissu anapendwa na watanzania ambao hawapendi mambo ya unafiki au ndumila kuwili sie mambo ya ulaya hayatuhusu tunahitaji chama pizani dhabiti sio cha kupiga deal za maridhiano
Hao wa CCM wana maslahi ya Tanzania mioyoni mwao?Huyu ameshakuwa wakala wa mashirika ya kijasusi ya magharibi, maslahi ya Tanzania hayako moyoni mwake
Kauli za machawa wanaomlilia Nkurunzinza wa chadema zinaanza kuonekana.Huyu ameshakuwa wakala wa mashirika ya kijasusi ya magharibi, maslahi ya Tanzania hayako moyoni mwake
Ccm walioficha fedha tangu uhuru ni raia wa nchi gani?ni hatari sana mtu wa namna hiyo huwenda akaiuza nchi na kutokomea ubeligiji
Porojob Hawa wauza bandari na ngorongoro Wana maslahi na nani?Huyu ameshakuwa wakala wa mashirika ya kijasusi ya magharibi, maslahi ya Tanzania hayako moyoni mwake
Wenye maslahi ni nani ni hao familia zao zinaishi Dubai na kwingineko?Huyu ameshakuwa wakala wa mashirika ya kijasusi ya magharibi, maslahi ya Tanzania hayako moyoni mwake
werevu ni kushiriki kutorosha raia wa nchi kihunihuniCcm walioficha fedha tangu uhuru ni raia wa nchi gani?
Samia anavyouza Ngorongoro, bandari, bahari na madini kwa waarabu ni raia wa nchi gani?
Hapa jF pamevamiwa na wajinga, sasa wajinga wamekuwa wengi mpk inakera.
Wale wa mkataba wa bandari vipi? Wauaji na watekaji vipi?Huyu ameshakuwa wakala wa mashirika ya kijasusi ya magharibi, maslahi ya Tanzania hayako moyoni mwake
Hizo stori tumeanza kuzisikia tangu enzi za vita baridi ajabu ni mtu akienda nje ya nchi mnamuita msaliti ilhali hamtaki kutoa uraia pacha mnaosema wanatumika na mataifa ya magharibi hamjaweza kuwazidi chochote wala kujitegemea hadi mnajengewa vyoo!Huyu ameshakuwa wakala wa mashirika ya kijasusi ya magharibi, maslahi ya Tanzania hayako moyoni mwake