Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Kujitoa akili Ni kazi sanaNdio sera ya chadema hiyo??!
Umeshawahi kumuuliza Lissu hilo swali??!Kujitoa akili Ni kazi sana
Sasa marahii jaribuni kupokonya haki kama hatuja anza na nyinyi mwanzoNdio sera ya chadema hiyo??!
Jamaa ana mkwala...!Huyo Lissu nae asitutetemeshe.
Nyuma ya keyboard comrade unaweza kuandika jinsi inavyokupendeza.Sasa marahii jaribuni kupokonya haki kama hatuja anza na nyinyi mwanzo
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kila uzi unauliza swali hili , unataka jibu gani ?!. Na je neno Sera unalielewaje ?!Ndio sera ya chadema hiyo??!
Kizazi cha sahivi sicho kile cha wasira ambacho kita ogopa jeshi la akibaNyuma ya keyboard comrade unaweza kuandika jinsi inavyokupendeza.
Yaani!Kila saa tu kutufokeaJamaa ana mkwala...!
Yule aliyezomewa n kukataliwa pale BUKOBA yeye huwa anabembeleza?Yaani!Kila saa tu kutufokea
Sera ya CHADEMA ni kupambana na ufisadi kama ule ufisadi wa ujenzi wa Chato International Airport.Ndio sera ya chadema hiyo??!
Ndio Nani?Yule aliyezomewa n kukataliwa pale BUKOBA yeye huwa anabembeleza?
Tuwekee sera ya chato basi km unaona wivu mtoto sio riziki weweNdio sera ya chadema hiyo??!
Mabeberu wamemuaharibu akili Sana.Huyu kibaraka hana mamlaka ya kututia roho juu watanzania ,haki iko akili mwa mtu ,yeye kama hajayaandaa mawazo yake kuwa tume itatenda haki lazima atapinga matokeo na kusema kaibiwa,huyu mtu ni mpuuzi sana ,
Kwa akili zake za milembe anadhani kuwa atashinda huku uchaguzi
Sababu kila uzi unaomuhusu Lissu nakutana na masimango tu kwa serikali lissu kasema serikali imefanya vile mara imefanya hivi.Kila uzi unauliza swali hili , unataka jibu gani ?!. Na je neno Sera unalielewaje ?!
Leta hata picha basi ya kuzomewa maana tumeomba video hamjaleta.Sera za Fisiemu si kuzomewa kama iliyotokea Bukoba.. Ety