Uchaguzi 2020 Lissu: Tume ikitaka amani, ihakikishe uchaguzi unakuwa wa haki

Sera ya CHADEMA ni kupambana na ufisadi kama ule ufisadi wa ujenzi wa Chato International Airport.

Una swali lingine??
Kwaiyo miaka mitano mtatumia kupambana na ufisadi kama ule ufisadi wa ujenzi wa chato international Airport??? Hampo serious
 
Sababu kila uzi unaomuhusu Lissu nakutana na masimango tu kwa serikali lissu kasema serikali imefanya vile mara imefanya hivi.
Kaka sijui dada. Siasa za campaign za uchaguzi , ndivyo zilivyo popote ulimwenguni. Hata Maghufuli anaongelea mapungufu ya Lissu, kila anapojisikia kufanya hivyo .

Kikubwa una kadi yako ya kura , itumie unavyotaka 28/10/20
 
Lisu aliwaambia muwe mnaandamana ili wagombea wenu warudishwe mbona hamjaandamana mpaka leo?
Nyie wenyewe mnamsaidia kuandamana angalau baadhi wsmerudishwa.

Hata hivyo rijali hawezi kushabikia siasa za engua engua
 
Mku
Huyu kibaraka hana mamlaka ya kututia roho juu watanzania ,haki iko akili mwa mtu ,yeye kama hajayaandaa mawazo yake kuwa tume itatenda haki lazima atapinga matokeo na kusema kaibiwa,huyu mtu ni mpuuzi sana ,

Kwa akili zake za milembe anadhani kuwa atashinda huu uchaguzi
Mkuu ivi wewe na uyu Nani niwamilembe au Nani nikibaraka?.....Kinana,Nape,makamba....wote hao walidukuliwa wakimteta Rais kwakuminya Haki.....Sasa wewe nakinana au Nape ninan mwenye impact kubwa CCM?...mkuu me nahisi utakua umekosea wewe ndio utakua wa milembe day.....malizia dozi Kwanza ndio uwe unacoment kwajazba namatusi
 
Mkuu heri yako wewe mwenye uwezo wa kuona jazba kupitia maandishi
 
Kama nimekuumza kwacoment yangu nisamehe mkuu,ila kiukweli huwa nachukizwa na lugha chafu....maana Sina Chama magufuli na mkubali Lisu Namkubali...ningeflai nyie wafuasi mkawa mnacoment kwalugha Safi ili sisi tusio navyama tupate sehemu sahii yakupga kura yetu Oct 28
 
Huyu kibaraka hana mamlaka ya kututia roho juu watanzania ,haki iko akili mwa mtu ,yeye kama hajayaandaa mawazo yake kuwa tume itatenda haki lazima atapinga matokeo na kusema kaibiwa,huyu mtu ni mpuuzi sana ,

Kwa akili zake za milembe anadhani kuwa atashinda huu uchaguzi
Wewe ni JIWE?
 
Kwaiyo miaka mitano mtatumia kupambana na ufisadi kama ule ufisadi wa ujenzi wa chato international Airport??? Hampo serious
Hapana hiyo ni moja ya sera kati ya nyingi zilizopo kwenye Ilani yetu

Mataga umepanic ehhh 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hapana hiyo ni moja ya sera kati ya nyingi zilizopo kwenye Ilani yetu

Mataga umepanic ehhh [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Comrade yaani umenifurahisha sana ulipoitaja ilani maana nimekua naitafuta ilani ya chadema bila mafanikio. Hatimaye umeitaja naimani unayo nakuomba uniwekee hapa ili nipate kuisoma.

Karibu sana comrade katika kuniletea ilani ya uchaguzi ya chadema.
 
Mataga umeitafutia wapi hiyo Ilani?
 
Back
Top Bottom