Uchaguzi 2020 Lissu: Tume ikitaka amani, ihakikishe uchaguzi unakuwa wa haki

Uchaguzi 2020 Lissu: Tume ikitaka amani, ihakikishe uchaguzi unakuwa wa haki

Kama nimekuumza kwacoment yangu nisamehe mkuu,ila kiukweli huwa nachukizwa na lugha chafu....maana Sina Chama magufuli na mkubali Lisu Namkubali...ningeflai nyie wafuasi mkawa mnacoment kwalugha Safi ili sisi tusio navyama tupate sehemu sahii yakupga kura yetu Oct 28
Piga kura kwa Mh Lissu achana na Jiwe aliyesukumiziwa ndani
 
Sisi tunajivunia kuwa na ilani ya uchaguzi iliyobora kabisa. Haturopoki tu kutoka kichwani kama tundu Lissu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikujua kama mmezomewa aisee
 
Acha aendelee kuwadanganya ninyi wafuasi wake wa mitandaoni,huyu mtu wenu lisso hawezi kamwe kuwa rais wa jmt hadi anaenda kibrah,

Ashukuru kwa kuweka historia ya kuwa mnyaturu wa kwanza kugombea urais kupitia CHADEMA ,
Mkuu nje ya mada, jiwe atakuja kwenye mdahalo wa kupima uwezo wa Rais au haji?
 
Hahaha comrade usinitoe kwenye reli. Hebu tuache kujadili nyeti.
Mkuu sema mimi sikulaumu kwakuwa uko kazini, lakini ukweli hata wew unajua kuwa jiwe siyo mtu sahihi kuwa Rais wa hii Jamuhuri, naomba niishie hapa
 
Kama nimekuumza kwacoment yangu nisamehe mkuu,ila kiukweli huwa nachukizwa na lugha chafu....maana Sina Chama magufuli na mkubali Lisu Namkubali...ningeflai nyie wafuasi mkawa mnacoment kwalugha Safi ili sisi tusio navyama tupate sehemu sahii yakupga kura yetu Oct 28
Bora uje kwa RUNGWE mkuu sisi tunat kuhakikishia mchele wa Mbeya supa na kuku was kienyeji
 
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi isiwatishe bali ihakikishe uchaguzi unakuwa huru na haki ili kuwe na amani.

Kwanza amewataka wawarudishe wagombea wote wa CHADEMA walioenguliwa katika kinyang’anyiro warudishe ili waende kukataliwa na wananchi katika sanduku la kura. Kura zihesabiwe kwa haki na atakaeyeshinda ashinde kwa haki.

Amesema hayo alipokuwa Mbalizi mkoani Mbeya akiwa safarini kuelekea Tunduma. Amesisitiza ya kuwa bila hayo kufanyika hakutakuwa na amani, kwa maneno yake ‘hakuta kuwa na amani kwenye wizi’.

Ikitokea hivyo amesema watadai haki yao kwa namna wanavyojua. Aidha amesema wasifundishwe namna ya kulia au namna ya kupiga kelele. Kama amani inatakiwa amesisitiza haki itendeke.
AMANI ni TUNDA la HAKI
 
Lissu matako sana. Hakuna mtu anamtaka na hatakaa kuwa raisi wa nchi hii.
 
Chato ndio watampigia kura Magu maana nyie mmeona sio watu,

Mwaka huu mbona tutawafurahisha sana!
Mtajifurahisha misukule ya lumumba....
Tuwekee sera ya chato basi km unaona wivu mtoto sio riziki wewe
 
Back
Top Bottom