Sina haja japo sikusoma: "take it from me, I can speak English than that idiot."
Mpelekee salamu hizo.
Unanipotezea muda tu mburula wewe. Shule mwende hadi PhD mlichoelewa huko hamna bado umaimuna ndiyo wenu. Hata aibu hamna?
Ninaandika uzi kumhusu huyu mburula na mshirika wake bwana manoti kabla ya kumsafirisha mtu, one way ticket to Chatto.
Kindergartens wengi tu wa English media wanaongea kiingereza kizuri kuliko huyu mburula mwenye PhD fake.
Kwamba bado haikufikirishi?
Haiyumkiniki unajua kuwa hatufai Ila ile buku 7 ndiyo unaufanya ugangamale, si utakufa njaa?
NB: nakuona kama unaelekea kwenye ignore lists kwani unavyoandika ni UTP.
UTP = UTOPOLO.