Uchaguzi 2020 Lissu: Tume ikitaka amani, ihakikishe uchaguzi unakuwa wa haki

Uchaguzi 2020 Lissu: Tume ikitaka amani, ihakikishe uchaguzi unakuwa wa haki

Huyu kibaraka hana mamlaka ya kututia roho juu watanzania ,haki iko akili mwa mtu ,yeye kama hajayaandaa mawazo yake kuwa tume itatenda haki lazima atapinga matokeo na kusema kaibiwa,huyu mtu ni mpuuzi sana ,

Kwa akili zake za milembe anadhani kuwa atashinda huu uchaguzi
mmeshazomewa
 
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi isiwatishe bali ihakikishe uchaguzi unakuwa huru na haki ili kuwe na amani.

Kwanza amewataka wawarudishe wagombea wote wa CHADEMA walioenguliwa katika kinyang’anyiro warudishe ili waende kukataliwa na wananchi katika sanduku la kura. Kura zihesabiwe kwa haki na atakaeyeshinda ashinde kwa haki.

Amesema hayo alipokuwa Mbalizi mkoani Mbeya akiwa safarini kuelekea Tunduma. Amesisitiza ya kuwa bila hayo kufanyika hakutakuwa na amani, kwa maneno yake ‘hakuta kuwa na amani kwenye wizi’.

Ikitokea hivyo amesema watadai haki yao kwa namna wanavyojua. Aidha amesema wasifundishwe namna ya kulia au namna ya kupiga kelele. Kama amani inatakiwa amesisitiza haki itendeke.
Naona hamna sera nyingine
 
Mwambieni wakuandamana hayupo, akamlete mkewe na wanawe wa tz tushachoka kutangulizwa.
 
Huyu kibaraka hana mamlaka ya kututia roho juu watanzania ,haki iko akili mwa mtu ,yeye kama hajayaandaa mawazo yake kuwa tume itatenda haki lazima atapinga matokeo na kusema kaibiwa,huyu mtu ni mpuuzi sana ,

Kwa akili zake za milembe anadhani kuwa atashinda huu uchaguzi
Sasa mkuu wewe unadhani jiwe atashinda au atatangazwa? Safari hii Mungu haachiwiiii
 
Sasa mkuu wewe unadhani jiwe atashinda au atatangazwa? Safari hii Mungu haachiwiiii
Acha aendelee kuwadanganya ninyi wafuasi wake wa mitandaoni,huyu mtu wenu lisso hawezi kamwe kuwa rais wa jmt hadi anaenda kibrah,

Ashukuru kwa kuweka historia ya kuwa mnyaturu wa kwanza kugombea urais kupitia CHADEMA ,
 
Sera ya chato ndio kitu gani??? Unatafuta basha comrade mbona unaulizia urijali wangu??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi urijali umeshuka thamani, yani nini?? Kuwa na wewe ni rijali??????
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi urijali umeshuka thamani, yani nini?? Kuwa na wewe ni rijali??????
Hahaha comrade usinitoe kwenye reli. Hebu tuache kujadili nyeti.
 
Back
Top Bottom