Lissu tutamwachia August asijefikiri anaogopwa. Na tutamshinda uchaguzi mkuu

Kumkamata na kumfungulia kesi tu ili kazi zake kwenye chama chake zisiende ni kumuogopa. Na mnamuogopa kwassbaabu hoja zake hamzijibu na badala yake mnamjibu kwa kutumia vyombo vya dola na vyombo vyengine.
 
Kumfundisha adabu mtu ni kumwogopa? Wewe ukimfunza adabu kijana wako kumbe unamwogopa?
 
Kumfundisha adabu mtu ni kumwogopa? Wewe ukimfunza adabu kijana wako kumbe unamwogopa?
Huko sio kumfundisha adabu isipokuwa ccm ndio isiyokuwa na adabu kwasababu baada yakutumia hoja hutumia vyombo vya dola. Lissu kila njia mnaifanya ili anguko ila wapi mnaanguka nyinyi.
 
Samiah v Lissu , Lissu atampiga vibaya Sana, kama alivyopigwa Mbowe.
 
Huko sio kumfundisha adabu isipokuwa ccm ndio isiyokuwa na adabu kwasababu baada yakutumia hoja hutumia vyombo vya dola. Lissu kila njia mnaifanya ili anguko ila wapi mnaanguka nyinyi.

CCM ni Baba, lazima ifundishe vijana wake adabu akiwemo Lisu. Tunampenda Lisu hata yeye anajua
 
Mwezi August utajua kanjanja ni wewe au Lisu unayemtetea
ntafahamu vipi ,wakati dunia nzima hadi vichaa wasio na akili wanafahamu ile kesi ni ya kubambikiwa ili kumpotezea LISSU muda iliasiwakwamishe watu na mambo yao ya ovyo
 
ntafahamu vipi ,wakati dunia nzima hadi vichaa wasio na akili wanafahamu ile kesi ni ya kubambikiwa ili kumpotezea LISSU muda iliasiwakwamishe watu na mambo yao ya ovyo

Kama mngejua hilo mngeandamana, lakini vipi je
 
Kama Mama hamuogopi Lisu kwanini amffungulie kesi tena ya uhaini? Pamoja na hayo mama atahukumiwa na Mungu sio wananchi maana hawawezi. Yeye ana vyombo vya dola akiamuru apate 99% ya kura inakuwa hivyo. Lakini atahukumiwa kwa saa babu hizi:
1. Kuruhusu umwagikaji wa damu kwa wanaomkosoa
2. Kufutia kanisa usajili na kuruhusu polisi kunajisi nyumba ya ibada na kuwaoiga waumini.
 
Uogope mtu asiye na jeshi sio?
Yeye hana jeshi na mwogopa akiwa nalo si mtakimbia nchi. Yaani risasi 16 zilizoingia mwilini mwake bado mnamwogopa kisa utofauti wa siasa. Hamtakuwa na uwezo wa kushindana nae hata awepo nani hapo ccm.
 
Sio mhaini tena!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…