Lissu tutamwachia August asijefikiri anaogopwa. Na tutamshinda uchaguzi mkuu

Lissu amekiri wapi? Mbona lissu analishwa maneno mengi sana?

Ohh tutamwachia? Ww na akina nani?
 
Mtaikubali reforms ili election ifanyike!
 
Huna hoja endelea kula ulojo
 
Kondom moja tu ingetumika vizuri ingelipunguzia taifa Ili mzigo huu.
 
Kw
ahiyo teyari mabox ya kura na polisisiemu mshawapanga pumbavvvvvv
 
Naona unatania mjuba, weka uchaguzi fair, ni asubuhi tu mnafyagiliwa mbali, unaishi ndani ya nchi? Moto hauonjwi kwa ulimi mjuba
 
Naona unatania mjuba, weka uchaguzi fair, ni asubuhi tu mnafyagiliwa mbali, unaishi ndani ya nchi? Moto hauonjwi kwa ulimi mjuba
Huyu ni kidampa mdogo , wenye akili ccm wanajua reform za uchaguzi zikifanyika hawezi pata kitu.
 
Lissu na chadema washiriki tu huu uchaguzi tuone kama kweli atashindwa, kama akishindwa ki halali basi watanzania wote watamuunga mkono mshindi, hakuna nongwa mjuba
 
Mahakama ni chombo cha serikali kutenda Haki. Mengine jaza mwenyewe
Unajua lolote kuhusu utawala wa sheria?
Unajua lolote kuhusu HAKI?
Je kuna sababu gani ya kumshikilia mtu kwa muda wote huku ukijua kwamba hana kosa ila unamshikilia kwa sababu ya kumuogopa?
Hiyo octoba UHAINI UTAKUWA UMEISHA???
 
Kuongoza kundi kubwa la watu ambao hawakutaki mtihani sana
Ni sawa na kulazimisha mapenzi... kama umekataliwa kubali.. mapenzi toka lini yakalazimishwa? mtu hakutaki ni hakutaki... sasa analazimisha kupendwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…