Lissu tutamwachia August asijefikiri anaogopwa. Na tutamshinda uchaguzi mkuu

Usikae hapa kutanua mdomo tu,ukitaka UTIKI vzr oktoba utambue watanzania wanataka yafuatayo ili ww uende UKATIKI vzr,uwanja wa mpira uwe sawa kwa wachezaji wote,refarii awe ni yule asiyependelea upande wowote,TUME HURU NA SIO YA MCHONGO KAMA HII inayotekeleza maagizo ya mtu mmoja.NDIO maana tunasema NO REFORMS NO ELECTION.REFORMS zifanyike Alafu twende wote kati mpira uanze ili UONE kama UTATIKI tena, brother wachache kama ww hawajachoka ila tambua watanzania wengi wamechoka na CCM inaogopa sana uchaguzi and that is real.
 
Mama atalambishwa nyasi kama bacca
 
Huo ujasiri hamnao! Msivyokubalika nchi nzima hata Heche anawataosha tu.
 
Nimecheka kwa nguvu, eti aibu ya kushindwa na mwanamke kwenye box la kura. Kwanza cdm haishindani na ccm, maana ccm sio chama cha siasa, bali kikundi cha dolaa kilichovaa koti la chama cha siasa. Na kikubwa ni kuwa Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
K
Mkewe ndiye anayemshinikiza akimbie aibu ya kushindwa na Samia. Lisu ameshindwa kutanguliza maslahi ya chama chake. Kamtanguliza mkewe
Tumekua na nchi ya ajabu ,kwamba yoyote katika nchi anaweza kufanya atakalo, mnamwachia nyie ni mahakama, kama sio mahakama hii kauli unatoa kwa mamlaka gani ?
 
Reactions: Ame
Lissu yupo lupango alishwa birhani kila uchwao na chai ya maziwa ivo!🦎inasemekana kwa raha apatazo mwenyewe ataka atoke januari panapo majaliwa (jokes)
 
Lissu yupo lupango alishwa birhani kila uchwao na chai ya maziwa ivo!🦎inasemekana kwa raha apatazo mwenyewe ataka atoke januari panapo majaliwa (jokes)

Yee mwenyewe asema Bora akae lupango kuliko atolewe akutane na aibu ya kipigo
 
Tusingeweza kuendelea kumshikilia Lissu kutokana na deni la Taifa lilivyo kwa sasa mkuu Lissu ni Habari nyingine mtu pekee CCM anaweza chuana na Lissu ni Makamba January huyo ndo anapendwa na watu wengi bila hata Sababu
 
Jidanganye
 
Naomba serikali watangaze hali ya hatari maana kuna anguko kubwa la vijana kukimbilia ushoga na uchawa bila hovyo ni aibu kwa taifa.
 
Lissu yupo lupango alishwa birhani kila uchwao na chai ya maziwa ivo!🦎inasemekana kwa raha apatazo mwenyewe ataka atoke januari panapo majaliwa (jokes)
We na kiswahili chako cha kuvunia sijui Mwani ,utashangaa sana, a 31 or 35 yrs in office huwezi kuwa wahijua nchi hii vizuri ,Mda mwalim,tunasubiri uchaguzi wenu na mbarikiwe katika haki kama kweli iyo haki ipo, hujui Dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…