Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Mchango up? Hujasikia kwamba viruses vya EBOLA na MPOX vilishaingizwa hapo Lumumba??uhatufokea wakati hujatoa mchango wako wa tone tone
Jifunze kuandika bhanaWe na kiswahili chako cha kuvunia sijui Mwani ,utashangaa sana, a 31 or 35 yrs in office huwezi kuwa wahijua nchi hii vizuri ,Mda mwalim,tunasubiri uchaguzi wenu na mbarikiwe katika haki kama kweli iyo haki ipo, hujui Dunia
Atuko jf jifunza mwandikoJifunze kuandika bhana
chadema mna taarifa za ndan ya ccm kuliko wana ccm wenyewe, we ruka kaa ila hakuna atakaechukua nafasi ya mamaMchango up? Hujasikia kwamba viruses vya EBOLA na MPOX vilishaingizwa hapo Lumumba??
Makala hajawambia? Unauliza tontine leo? Muulize makala atakwambia
Mlimshika wann mngemwacha nje muda wote
Mtajua wenyewe,tunachojua ni kimoja Mungu Yuko kazini anapitia halitasalia jiwe juu ya jiwe asema Bwana wa majeshiMahakama ni chombo cha serikali kutenda Haki. Mengine jaza mwenyewe
Hatuna maneno mengi. Kwetu KAZI zinajieleza zenyewe. Lisu hana ubavu wa kuchuana na Mama mwenye uwezo wake. Lisu mwenyewe juzi amekiri hilo. Unakumbuka siku Lisu alipokuwa Mahakamani amevaa tisheti imeandikwa One Heart one love. Kamuulizeni sababu.
Ila mkae mkijua Lisu mwenyewe Kasanda. Hiyo kusema NRNE ni kukimbia aibu ya kushindwa na mwanamke kwenye boksi la kura. Na bado
Nyie nani ,subirini ndo mtajua kuwa Mungu yupo kaziniTulitaka kumwachia ila tumeghairi
yuko jela kwa tuhuma za jinai sawa na mahabusu wengine wakawaida atafungwa atanyongwa au kuachiwa na mahakama na ieleweke kesi jinai yake haina uhusiano wowote na uchaguzi, chadema wakiona anafaa kugombea wamchukulie form ampelekee ajaze,Hatuna maneno mengi. Kwetu KAZI zinajieleza zenyewe. Lisu hana ubavu wa kuchuana na Mama mwenye uwezo wake. Lisu mwenyewe juzi amekiri hilo. Unakumbuka siku Lisu alipokuwa Mahakamani amevaa tisheti imeandikwa One Heart one love. Kamuulizeni sababu.
Ila mkae mkijua Lisu mwenyewe Kasanda. Hiyo kusema NRNE ni kukimbia aibu ya kushindwa na mwanamke kwenye boksi la kura. Na bado
Muda wa miezi mitano aliyokaa selo angekuwa amezunguka mikoa mingapi broo,,Hatuna maneno mengi. Kwetu KAZI zinajieleza zenyewe. Lisu hana ubavu wa kuchuana na Mama mwenye uwezo wake. Lisu mwenyewe juzi amekiri hilo. Unakumbuka siku Lisu alipokuwa Mahakamani amevaa tisheti imeandikwa One Heart one love. Kamuulizeni sababu.
Ila mkae mkijua Lisu mwenyewe Kasanda. Hiyo kusema NRNE ni kukimbia aibu ya kushindwa na mwanamke kwenye boksi la kura. Na bado
Ukiwa kwenye lishe ya bure,, pay roll ya bure ya Kodi zetu,, kuropoka raha kweli kweli. Ngoja wakutoe kama Pole Pole unakuwa mpole kama umeugua mafua ya ndege.yuko jela kwa tuhuma za jinai sawa na mahabusu wengine wakawaida atafungwa atanyongwa au kuachiwa na mahakama na ieleweke kesi jinai yake haina uhusiano wowote na uchaguzi, chadema wakiona anafaa kugombea wamchukulie form ampelekee ajaze,
Vibaya hivo lo
Hatuna maneno mengi. Kwetu KAZI zinajieleza zenyewe. Lisu hana ubavu wa kuchuana na Mama mwenye uwezo wake. Lisu mwenyewe juzi amekiri hilo. Unakumbuka siku Lisu alipokuwa Mahakamani amevaa tisheti imeandikwa One Heart one love. Kamuulizeni sababu.
Ila mkae mkijua Lisu mwenyewe Kasanda. Hiyo kusema NRNE ni kukimbia aibu ya kushindwa na mwanamke kwenye boksi la kura. Na bado
Kuwadi la.mfumo linajiona litanzania daraja la kwanza!Hatuna maneno mengi. Kwetu KAZI zinajieleza zenyewe. Lisu hana ubavu wa kuchuana na Mama mwenye uwezo wake. Lisu mwenyewe juzi amekiri hilo. Unakumbuka siku Lisu alipokuwa Mahakamani amevaa tisheti imeandikwa One Heart one love. Kamuulizeni sababu.
Ila mkae mkijua Lisu mwenyewe Kasanda. Hiyo kusema NRNE ni kukimbia aibu ya kushindwa na mwanamke kwenye boksi la kura. Na bado
mie nimlipa kodi sili wala sijawahi kula kodi, hata nikienda hospital nalipia mkuu, kodi naitumia napohojiwa na trafik au kutumia barabara ya lamiUkiwa kwenye lishe ya bure,, pay roll ya bure ya Kodi zetu,, kuropoka raha kweli kweli. Ngoja wakutoe kama Pole Pole unakuwa mpole kama umeugua mafua ya ndege.
Sawa "Kiongozi" ujuwe kulipwa ili ukejeli na kukebehi wengine wanoumia ni raha kweli kweli. Jitahidi broomie nimlipa kodi sili wala sijawahi kula kodi, hata nikienda hospital nalipia mkuu, kodi naitumia napohojiwa na trafik au kutumia barabara ya lami