lord atkin
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 205
- 769
Hapa ni wapi jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana mkuu popote ulipo uliona mbali na sasa tunakiona Cha mtema Kuni.Unadhani wazungu hua wanakurupuka kama nyie?
Wanajipanga,wanaandaa charges tu,ikifika muda wa ku-strike,niggas you are in deep shit!
Nyie subirini...mzungu hua asahau kitu mzee!
Mwalimu wa Chemia alisema hatufiiki mbali, nami namuuliza japo ni marehemu hapa ni wapi.Hapa ni wapi jamani
Ujinga mzigo.Habari.
Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.
Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!
Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!
Je kama tungesikiliza ushauri wa LISSU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3?
Mwalimu wa Kemia Chato, hapa ni Wapi🤣Habari.

Mtoa mada kwa sasa amegeuka 'anti establishment'.... Kutwa kulia kulia na kulalamikia utawalaYametimia!
Una jipya tena ?Habari.
Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.
Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!
Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!
Je kama tungesikiliza ushauri wa LISSU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3?
Hatimaye yametimia......kazi tuliyo nayo sasa ni kulipa madeni tu tena sababu ya maamuzi ya kukurupuka.Unadhani wazungu hua wanakurupuka kama nyie?
Wanajipanga,wanaandaa charges tu,ikifika muda wa ku-strike,niggas you are in deep shit!
Nyie subirini...mzungu hua asahau kitu mzee!
Lissu ni kivuruge ...😂😂😂Lisu ana kipaji cha upotoshaji na kwa bahati nzuri sana au mbaya amepata sehemu nzuri inayomfaa, kuendesha uongo wake Chadema.
Hahahhaa Jamaa anatamani afute huu UziHii ndo JF
Tatizo ni sisi wenyewe kukimbilia kuridhia na ku saini hizi multilateral agreements. Angalia ICC inavyowasumbua waafrika. Hizo nchi za wazungu huwa hawasaini mikataba ya aina hii na ile ya kupunguza hewa ya ukaa kutunza mazingira kwa kupunguza uzalishaji wa viwanda. Hakuna nchi za Magharibi ambae ni member anaesaini vitu vya ajabu hiviUnadhani wazungu hua wanakurupuka kama nyie?
Wanajipanga,wanaandaa charges tu,ikifika muda wa ku-strike,niggas you are in deep shit!
Nyie subirini...mzungu hua asahau kitu mzee!
Teh teh teh 😂😂😂 noma sanaHuu uzi wako uhifadhi ili baadaye ugeuke chambio lako..Subiri kidogooo visiku vichache utapata ulichouliza
Watu kama nyie kwa kuabudu wazungu ndo hufikia mpaka kusema "mavi ya wazungu hayanuki"Hadi leo unaendekeza utumwa kwa wazungu! Hata kama wanatuzidi maarifa lazima nasi tujitutumue japo kidogo
MTANIKUMBUKA - JPMAcacia wanasafirisha makinikia kama zamani?
Ngoja nikuzindushe kwanza makinikia yanasafirishwa kila week na kampuni ya rostam ndio wamechukua tenda ya kutoa buliyankulu na buzwagi kupeleka TPAKama makinikia haya account chochote kwa nini wanalilia kuyasafirisha?
Makinikia yanasafirishwa vizuri tu aisee hakuna ambae alizuia zile zilikuwa fix tuKuna mahali nimesema haya-account chochote?! Nimekuambia pamoja na kuyazuia makinikia lakini bado wanaigiza pesa za kutosha kupitia pure gold kwa sababu hadi kesho bado wanasafirisha!! Pesa wanaendelea kuingiza; Trilioni 425 hadi sasa kizungumkuti; lakini hata ile USD 300M wamedindisha kuitoa! At the end of the day, ile migodi iliyobakisha miaka michache kuwa economically productive na yenyewe wanaifunga, kisha haooo, wanasepa! Sasa mshindi ni nani hapo?!