Lissu ulisema tutashitakiwa MIGA

Lissu ulisema tutashitakiwa MIGA

Tutanyooshwa mpaka akili zikae sawa... dunia sio shule ya boarding ya serikali... kwamba ufanye bullying bila consequences

1690397893704.png

1690397911218.png

1690397819171.png
 
Habari.

Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.

Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!

Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!

Je kama tungesikiliza ushauri wa LISSU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3?
Ujinga mzigo.
 
Mwalimu wa Kemia Chato, hapa ni Wapi🤣
 
Una jipya tena ?

JokaKuu zitto junior Kalamu
 
Unadhani wazungu hua wanakurupuka kama nyie?

Wanajipanga,wanaandaa charges tu,ikifika muda wa ku-strike,niggas you are in deep shit!

Nyie subirini...mzungu hua asahau kitu mzee!
Tatizo ni sisi wenyewe kukimbilia kuridhia na ku saini hizi multilateral agreements. Angalia ICC inavyowasumbua waafrika. Hizo nchi za wazungu huwa hawasaini mikataba ya aina hii na ile ya kupunguza hewa ya ukaa kutunza mazingira kwa kupunguza uzalishaji wa viwanda. Hakuna nchi za Magharibi ambae ni member anaesaini vitu vya ajabu hivi

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Kuna mahali nimesema haya-account chochote?! Nimekuambia pamoja na kuyazuia makinikia lakini bado wanaigiza pesa za kutosha kupitia pure gold kwa sababu hadi kesho bado wanasafirisha!! Pesa wanaendelea kuingiza; Trilioni 425 hadi sasa kizungumkuti; lakini hata ile USD 300M wamedindisha kuitoa! At the end of the day, ile migodi iliyobakisha miaka michache kuwa economically productive na yenyewe wanaifunga, kisha haooo, wanasepa! Sasa mshindi ni nani hapo?!
Makinikia yanasafirishwa vizuri tu aisee hakuna ambae alizuia zile zilikuwa fix tu
 
Back
Top Bottom