Lissu umeshinda, ioshe mioyo ya timu Magufuli tukukabidhi nchi

Hijui kama jpm ndo alimkung'uta risasi 32 mwamna Lisu akinuia kumuua?
 
KAZI NJEMA.
 
Si akisema magu ndio alitaka kumuua?
 
kamfuate huyo mfu wako. Wache wafu wapumzike, hangaika na walio hai
 
Mim siku Mh Lissu akisema anamkubali Jiwe basi ndiyo siku hiyo sitokuwa na imani naye tena. Maana anaweza anza kuwa na tabia za Jiwe
 
Lissu aache kumtukana Magufuli na Wasukuma kwa ujumla. Hiyo sera itamkwamisha kuuchukua urais. Hiyo ni sera ya Samia na awamu yake ya sita.

Apambane kupiga vita ufisadi, rushwa, kulinda rasilimali za umma, nidhamu serikalini. Kiufupi achukue sera za Magufuli aongeze na Demokrasia.
 
Wengi wa Timu Lisu ni Timu Magu
Lisu na marehemu, wanakaribiana kwa kuwa wakweli na kutokuwa waoga wa kuunena ukweli wanaouamini.

Tofauti yao ipo katika kufuata sheria, wakati Lisu anapenda sana kufuata shsria, na katiba, marehemu hakupenda kufuata sheria wala katiba wala masuala ya haki za binadami na demokrasia, pale alipoamini analolifanya lina tija.

Wote wawili wanafanana katika kutaka rasilimali za nchi ziwanufaishe Watanzania,kabla ya wageni.
 
Njia nyeupe kwenda ikulu, shida ni hii katiba, wasimamizi ni wale wale wenye PhD katika ngazi ya "goli la mkono ".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…