Lissu umeshinda, ioshe mioyo ya timu Magufuli tukukabidhi nchi

Chadema wote nawachukia wako tu kama waleeee mie nawapenda sana act wazalendo hicho chama hakina tamaa wala hakina mabadiliko mabadiliko
Chuki yako haina impact, unasema act hawana tamaa ya madaraka? Wapw upenyo au kama hujasikiliza sera zao
 

Ramani ya vita
 
Alivyomtukana, mhh
 

Hivi unajua kirefu ya CCM ... Sasa nenda kwenye kamusi angalia neno MapinduZi..unaweza ukashinda kwenye box ila nje ya box tukakushinda na usifanye lolote...
 
Mimi ni kati ya wanaomkubali jembe lisu na magufuli kwa pamoja .
Magu akichukua fomu ya kugombea tena nashauri Lisu awe mgombea mwenza...nitawachagua, najua Magu hawezi kumuumiza tena enka kwa kuwa watakua timu moja, mmoja full back wa kati mwingine center forward.
 
Mimi lisu siwezi kumsamehe mpaka aende kwenye kabuli akatubu na kulia kwa kutoa machozi, akitoka hapo aende Butiama afanye hivyo hivyo
 
🤣 🤣 🤣
 
Magufuli yupi sasa?
 
Kataa uliberali kua mjamaa mtetezi wa maslahi ya umma Lissu tukupe nchi. Mlengo wa kimagufuli tumebaki yatima wahuni wamepora ugombea urais ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…