Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
KUONGEA KUHUSU NINI?
Yaani Lissu, anachekesha sana. Yaani mnataka kuingia serikalini kwa mlango wa nyuma. Nyie mnataka kuongea subirini uchaguzi uishe mwezi Oktoba 2025 kwa sasa hakuna muda wa kuongea watu wako bize na kuaandaa ilani na kujipanga na uchaguzi
Juzi tu ulikuwa anamponda Mbowe kwa nini amekutana na Rais Samia. Wewe umechaguliwa juzi tu unataka kuongea na Rais Samia, muongee nini?
Mnataka kususia uchaguzi eti 'No Elections, No Reforms', mnampa nani hii amri?
Tuna vyama zaidi ya 15 nchi hii, msiposhiriki nyie uchaguzi wengine watashiriki na serikali itaundwa kama kawaida.