Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #21
Hivi huoni aibu ??
UFIPA huenda wasione kilichopo mbele yao na kinachokuja kukikuta chama chao lakini dalili wameziona juzi wakipozimiwa umeme ukumbini kwa kuwa muda wa kufanya mkutano wao kuisha na kukosa 50m TZS kulipa ili kuendelea kutumia ukumbi pale Mlimani City.
Wakashindwa kuwa na 50m TZS na wenye ukumbi wakawalazimisha waondoke kwa kuwa muda wao umekwisha!..Haya ni mambo ambayo huwezi kuwasikia wakiyazungumza lakini ni ishara nzuri sana za wapi wanakwenda kama kikundi cha wanaharakati wa siasa.