Pre GE2025 Lissu unataka kuongea nini na Rais, subirini uchaguzi uishe mwezi Oktoba 2025

Pre GE2025 Lissu unataka kuongea nini na Rais, subirini uchaguzi uishe mwezi Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Majizi ya kura hata aibu hamna. Toka lini kuongea mambo bora ya nchi yetu ilianza kuwa shida?

Ni mtu Mwizi tu Anaweza kukataa tume huru ya uchaguzi.
Wanaahirisha kufikiri kizalendo a .k.a kujizima data, watawasha tu hizo data

Similarly it is never too late in life
 
Nasikia ulikuwa Iraq kusimamia kupitisha sheria ya kuoa watoto wa miaka 9. Aibu!
Lissu. alisema wanachama watachanga hela na kuendesha chama!.. Kwani kuna shida gani tena hawachangi!

Lema aliongea kwa ushujaa sana kuwa Mbowe hana lolote na chama hakitegemei mtu mmoja na fedha zake!

Halafu kwa hali hii ndiyo mshindane na CCM? Yaaani milioni 50 zinawatoa jasho hivi 😁😁
 
Tundu Lissu kasema kukaa na kuongea na mzee Wasira ni kupoteza muda..

hakuna muda wa kuongea watu wako bize na kuaandaa ilani na kujipanga na uchaguzi
Wasira yupi unayemzungumzia azungumze na Lisu, Wasira Hana cha kumueleza Lisu.

CCM ipo madarakani kwa sababu tu ya msaada wa jeshi la polisi
 
Kama hamjajipanga na uchaguzi wa Oktoba 2025 mna hiyari ya kukaa pembeni mtakuja kushiriki siku zijazo kama mtakuwa bado mko hai lakini eti Tanzania isifanye uchaguzi kisa UFIPA wanataka katiba mpya ni ujinga wa hali ya juu sana kuwahi kutokea!.
Trump amesimamisha misaada yote mpaka wafanye mapitio na kuhakikisha kuwa kila nchi inafuata kanuni zinazoendana na misaada. Maushungi ajitayarishe.
 
Lissu. alisema wanachama watachanga hela na kuendesha chama!.. Kwani kuna shida gani tena hawachangi!

Lema aliongea kwa ushujaa sana kuwa Mbowe hana lolote na chama hakitegemei mtu mmoja na fedha zake!

Halafu kwa hali hii ndiyo mshindane na CCM? Yaaani milioni 50 zinawatoa jasho hivi 😁😁
Nasikia ulikuwa Iraq kusimamia kupitisha sheria ya kuoa watoto wa miaka 9. Aibu!
 
Kwa kweli kwa sasa hata sisi Wana CCM kindakindaki tunataka Uchaguzi Huru na wa Haki. Tupate Viongozi waliotokana na Matakwa ya Wananchi.
 
Wasira yupi unayemzungumzia azungumze na Lisu, Wasira Hana cha kumueleza Lisu.

CCM ipo madarakani kwa sababu tu ya msaada wa jeshi la polisi
Yaani kwa akili zako za kawaida tu unaamini kuwa hakuna uchaguzi mwaka huu!? Kalieni huo ujinga wa No Reform No Election muone!..

Yaani uchaguzi utafanyika na hakuna kitu mtafanya na ndiyo tutawafuta vizuri kwenye ramani ya siasa!..
 
TUNDU Lissu Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema chama hicho kitapigania upatikanaji wa Katiba mpya endapo isipopatikana hapatakuwa na uchaguzi na kwamba hatarudi nyuma kuikana kauli yake.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Tukiwaambia huyu mtu kichwa yake siyo nzuri hamsikii!..

Haya tuone kama uchaguzi hakuna hiyo October 2025
 
Mods mbona mnafuta post zangu JF ni jukwaa Huru.
 
Mnataka kususia uchaguzi eti 'No Elections, No Reforms', mnampa nani hii amri?

Tuna vyama zaidi ya 15 nchi hii, msiposhiriki nyie uchaguzi wengine watashiriki na serikali itaundwa kama kawaida.
 
Hivi kweli chama kinachoshindwa kulipa 50m TZS za ukumbi wa mikutano kinawezaje kuwa muhimu na kusimamisha uchaguzi usifanyike? Kivipi yaani?

Let's see. Kuna namna nyingi za kumuua PAKA.

Kama Mbowe aliavha account na Zero balance, ulitegemea pesa iwepo kesho yake. CCM wao wanapo pa kuchota na Wajomba wako nyuma safari hii wanapiga tafu.

By the way welcome back Ritz.

From The Khoisan aka Mr. Zero
 
Yaani kwa akili zako za kawaida tu unaamini kuwa hakuna uchaguzi mwaka huu!?

Wewe mtu kichwa chako ni kibovu? Naona unajibu vitu ambavyo sivioni kwenye mjadala unaozungumziwa kwa wakati husika
 
Tundu Lissu kasema kukaa na kuongea na mzee Wasira ni kupoteza muda..

hakuna muda wa kuongea watu wako bize na kuaandaa ilani na kujipanga na uchaguzi
Kwanza hana hadhi ya kuongea na Wasira
 
Wewe mtu kichwa chako ni kibovu? Naona unajibu vitu ambavyo sivioni kwenye mjadala unaozungumziwa kwa wakati husika
Wewe punguani kweli unataka nikujibu unavyotaka wewe?

Lissu, Anataka KUONGEA KUHUSU NINI?

Yaani Lissu. ni lijinga sana. Yaani mnataka kuingia serikalini kwa mlango wa nyuma. Nyie mnataka kuongea subirini uchaguzi uishe mwezi Oktoba 2025 kwa sasa hakuna muda wa kuongea watu wako bize na kuaandaa ilani na kujipanga na uchaguzi

Kuongea kuhusu nini kwanza?
 
Karata yao awamu hii ni kujenga chuki kati ya watanganyika na wazanzibari na lengo ni kuwajaza hasira na chuki watu wa bara kuwa Zanzibar inafaidika sana awamu hii kuliko wao!
 
Kwanza hana hadhi ya kuongea na Wasira
nimesikia Lissu, anasema wanataka kuonana na Rais kuzungumza! Yaani mnazungumza nini? Wakati wa mazungumzo si mlisusa nyie au? Yaani watu wanajiandaa na uchaguzi nyie mnataka kuzungumza? Subirini Oktoba 2925 uchaguzi uishe ndiyo mzungumze sasa hivi hakuna cha kuzungumza watu wanajipanga na uchaguzi au!..
 
Wanaukumbi.

KUONGEA KUHUSU NINI?

Yaani Lissu, anachekesha sana. Yaani mnataka kuingia serikalini kwa mlango wa nyuma. Nyie mnataka kuongea subirini uchaguzi uishe mwezi Oktoba 2025 kwa sasa hakuna muda wa kuongea watu wako bize na kuaandaa ilani na kujipanga na uchaguzi

Juzi tu ulikuwa anamponda Mbowe kwa nini amekutana na Rais Samia. Wewe umechaguliwa juzi tu unataka kuongea na Rais Samia, muongee nini?

Mnataka kususia uchaguzi eti 'No Elections, No Reforms', mnampa nani hii amri?

Tuna vyama zaidi ya 15 nchi hii, msiposhiriki nyie uchaguzi wengine watashiriki na serikali itaundwa kama kawaida.
Wewe kwanini unapost sasa huu Uzi??

Si ungesbuiri October??
 
Back
Top Bottom