Majizi ya kura hata aibu hamna. Toka lini kuongea mambo bora ya nchi yetu ilianza kuwa shida?Wanaukumbi.
KUONGEA KUHUSU NINI?
Yaani Lissu, anachekesha sana. Yaani mnataka kuingia serikalini kwa mlango wa nyuma. Nyie mnataka kuongea subirini uchaguzi uishe mwezi Oktoba 2025 kwa sasa hakuna muda wa kuongea watu wako bize na kuaandaa ilani na kujipanga na uchaguzi
Juzi tu ulikuwa anamponda Mbowe kwa nini amekutana na Rais Samia. Wewe umechaguliwa juzi tu unataka kuongea na Rais Samia, muongee nini?
Vipi sela inaonekana umepiga ugali maharage gonga na maji man inaweza ukawa normal Tena , sijakuelewa🤔Tundu Lissu kasema kukaa na kuongea na mzee Wasira ni kupoteza muda..
hakuna muda wa kuongea watu wako bize na kuaandaa ilani na kujipanga na uchaguzi
Lissu kiboko,Tundu Lissu kasema kukaa na kuongea na mzee Wasira ni kupoteza muda..
hakuna muda wa kuongea watu wako bize na kuaandaa ilani na kujipanga na uchaguzi
Muda wote Mbowe alipokuwepo ulijua mserereko ukawaachia chawa,Humjui Ritz wewe hili ndiyo jukwaa langu miaka yote wewe mgeni JF.
Hata huu uchaguzi ukifanyika kibabe bila chama kikuu cha upinzani kushiriki bado utatia dosari kubwa sana kwa ccm katika medani za kimataifa
Kwahiyo kuna haja kubwa sana ya chama chetu ccm kutumia busara na hekima katika kuliendea jambo hili
Nakuuliza,Chadema-Kata leo wanamtukana Mbowe😂