Hivi huoni aibu ??
Nakuuliza,
Mbona haraka hivyo,
Unamaanisha Vita ya Gaza Si muhimu tena, ughafula umetoka wapi baada tu ya Lissu kuingia mzigoni?
Lissu, anaongelea mambo ya "No Reforms No Elections" inawezekana hajui kuwa mabadiliko ya sheria za uchaguzi yalishafanywa na wao walisusia kila kitu mpaka wakaandamana lakini wengi wakashinda kwa kura kule bungeni na sheria ikapitishwa pamoja na kususa kwao!.anaongelea mambo ya "No Reforms No Elections" inawezekana hajui kuwa mabadiliko ya sheria za uchaguzi yalishafanywa na wao walisusia kila kitu mpaka wakaandamana lakini wengi wakashinda kwa kura kule bungeni na sheria ikapitishwa pamoja na kususa kwao!.
Sasa mtu kama tyson mnajadiliana nae nini kama siyo kupotezeana mda ccm bure kabisaππππNimemsikiliza kwa makini sana, ila najiuliza anataka kukaa kikao na Rais kujadili nini wakati wasaidizi wa Rais ambao aliwateua kumsaidia anawaita ni side show sijui debe tupu
Lissu, ni mwendawazimu anadhani Tanzania haiwezi kufanya uchaguzi bila wao. Kwani wao ni nani yaani? Tanzania ina vyama 19 vya kisiasa kwani wao wakisusia uchaguzi kuna shida gani? Kama hawajajipanga wanaweza kususia tu na next time wakiwa tayari watakuja kushiriki lakini kuwaza kuwa nchi inaweza kusimama na kukwama kufanya uchaguzi kwa ajili ya wao kususa ni upumbavu na ujinga wa haki ya juu sana!..Ni mtu mwendawazimu tu kama Chiba ndiyo anaweza kuwa na mawazo kama haya ya hivi!.Kwa kua mmezoea kuwa machawa na mambumbu mnazani kila nyakati zipo hivo
Nikwambie tu Kwa ufupi,Lissu, anaongelea mambo ya "No Reforms No Elections" inawezekana hajui kuwa mabadiliko ya sheria za uchaguzi yalishafanywa na wao walisusia kila kitu mpaka wakaandamana lakini wengi wakashinda kwa kura kule bungeni na sheria ikapitishwa pamoja na kususa kwao!.
Bila KATIBA Mpya na Tume huru ya Uchaguzi,Lissu, ni mwendawazimu anadhani Tanzania haiwezi kufanya uchaguzi bila wao. Kwani wao ni nani yaani? Tanzania ina vyama 19 vya kisiasa kwani wao wakisusia uchaguzi kuna shida gani? Kama hawajajipanga wanaweza kususia tu na next time wakiwa tayari watakuja kushiriki lakini kuwaza kuwa nchi inaweza kusimama na kukwama kufanya uchaguzi kwa ajili ya wao kususa ni upumbavu na ujinga wa haki ya juu sana!..Ni mtu mwendawazimu tu kama Chiba ndiyo anaweza kuwa na mawazo kama haya ya hivi!.
Sema visipo shiriki utashiriki wewe uchafuziWanaukumbi.
KUONGEA KUHUSU NINI?
Yaani Lissu, anachekesha sana. Yaani mnataka kuingia serikalini kwa mlango wa nyuma. Nyie mnataka kuongea subirini uchaguzi uishe mwezi Oktoba 2025 kwa sasa hakuna muda wa kuongea watu wako bize na kuaandaa ilani na kujipanga na uchaguzi
Juzi tu ulikuwa anamponda Mbowe kwa nini amekutana na Rais Samia. Wewe umechaguliwa juzi tu unataka kuongea na Rais Samia, muongee nini?
Mnataka kususia uchaguzi eti 'No Elections, No Reforms', mnampa nani hii amri?
Tuna vyama zaidi ya 15 nchi hii, msiposhiriki nyie uchaguzi wengine watashiriki na serikali itaundwa kama kawaida.
Nimesikitika sana kitendo cha chama changu Chadema kwa siku ya jana kushindwa kulipia ukumbi wa mlimani city Tsh 50M na kulazimika kuahirisha uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu ya chama ambao ulikua ufanyike jana.Haijawahi kua desturi ya chama chetu kwan ni chama cha kibeparNikwambie tu Kwa ufupi,
Patakuwa na mabadiliko ya Tume huru ya Uchaguzi kabla ya October 2025.
Mtake mistake, mtasikiliza,
Na 2026,
Katiba mpya utaanza kutumika.
Tusubiri.
Mama abdul hajui lolote maskini.Wanaukumbi.
KUONGEA KUHUSU NINI?
Yaani Lissu, anachekesha sana. Yaani mnataka kuingia serikalini kwa mlango wa nyuma. Nyie mnataka kuongea subirini uchaguzi uishe mwezi Oktoba 2025 kwa sasa hakuna muda wa kuongea watu wako bize na kuaandaa ilani na kujipanga na uchaguzi
Juzi tu ulikuwa anamponda Mbowe kwa nini amekutana na Rais Samia. Wewe umechaguliwa juzi tu unataka kuongea na Rais Samia, muongee nini?
Mnataka kususia uchaguzi eti 'No Elections, No Reforms', mnampa nani hii amri?
Tuna vyama zaidi ya 15 nchi hii, msiposhiriki nyie uchaguzi wengine watashiriki na serikali itaundwa kama kawaida.
Kama Chadema isiposhiliki uchaguzi hakuna mwananchi mwenye akili timamu atakaye jisumbua kupiga kura; hivyo vyama 15 unavyovisema ni matawi ya ccmWanaukumbi.
KUONGEA KUHUSU NINI?
Yaani Lissu, anachekesha sana. Yaani mnataka kuingia serikalini kwa mlango wa nyuma. Nyie mnataka kuongea subirini uchaguzi uishe mwezi Oktoba 2025 kwa sasa hakuna muda wa kuongea watu wako bize na kuaandaa ilani na kujipanga na uchaguzi
Juzi tu ulikuwa anamponda Mbowe kwa nini amekutana na Rais Samia. Wewe umechaguliwa juzi tu unataka kuongea na Rais Samia, muongee nini?
Mnataka kususia uchaguzi eti 'No Elections, No Reforms', mnampa nani hii amri?
Tuna vyama zaidi ya 15 nchi hii, msiposhiriki nyie uchaguzi wengine watashiriki na serikali itaundwa kama kawaida.
Halafu anapotaka mabadiliko yafanyika yanafanywa na bunge lipi? Hili ambalo 99% ni CCM au ana bunge jingine? Au bunge hili linalovunjwa miezi michache ijayo? Kwa hiyo bunge hili litapitisha mambo ya UFIPA au vipi? Ni mtu mwendawazimu tu anayeweza kuwaza kuwa bunge la wabunge wengi wa CCM linaweza kupitisha mambo yao au wanayoyataka wao kwa manufaa yao au mitazamo yao.Mama abdul hajui lolote maskini.
Uchaguzi utafanyika hata chini ya mwembe,Nimesikitika sana kitendo cha chama changu Chadema kwa siku ya jana kushindwa kulipia ukumbi wa mlimani city Tsh 50M na kulazimika kuahirisha uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu ya chama ambao ulikua ufanyike jana.Haijawahi kua desturi ya chama chetu kwan ni chama cha kibepar
πππWanaukumbi.
KUONGEA KUHUSU NINI?
Yaani Lissu, anachekesha sana. Yaani mnataka kuingia serikalini kwa mlango wa nyuma. Nyie mnataka kuongea subirini uchaguzi uishe mwezi Oktoba 2025 kwa sasa hakuna muda wa kuongea watu wako bize na kuaandaa ilani na kujipanga na uchaguzi
Juzi tu ulikuwa anamponda Mbowe kwa nini amekutana na Rais Samia. Wewe umechaguliwa juzi tu unataka kuongea na Rais Samia, muongee nini?
Mnataka kususia uchaguzi eti 'No Elections, No Reforms', mnampa nani hii amri?
Tuna vyama zaidi ya 15 nchi hii, msiposhiriki nyie uchaguzi wengine watashiriki na serikali itaundwa kama kawaida.
Tundu Lissu kasema kukaa na kuongea na mzee Wasira ni kupoteza muda..
hakuna muda wa kuongea watu wako bize na kuaandaa ilani na kujipanga na uchaguzi
Tunataka Abdul ahukuwe kwa kutoa rushwa.Wanaukumbi.
KUONGEA KUHUSU NINI?
Yaani Lissu, anachekesha sana. Yaani mnataka kuingia serikalini kwa mlango wa nyuma. Nyie mnataka kuongea subirini uchaguzi uishe mwezi Oktoba 2025 kwa sasa hakuna muda wa kuongea watu wako bize na kuaandaa ilani na kujipanga na uchaguzi
Juzi tu ulikuwa anamponda Mbowe kwa nini amekutana na Rais Samia. Wewe umechaguliwa juzi tu unataka kuongea na Rais Samia, muongee nini?
Mnataka kususia uchaguzi eti 'No Elections, No Reforms', mnampa nani hii amri?
Tuna vyama zaidi ya 15 nchi hii, msiposhiriki nyie uchaguzi wengine watashiriki na serikali itaundwa kama kawaida.
Kama hamjajipanga na uchaguzi wa Oktoba 2025 mna hiyari ya kukaa pembeni mtakuja kushiriki siku zijazo kama mtakuwa bado mko hai lakini eti Tanzania isifanye uchaguzi kisa UFIPA wanataka katiba mpya ni ujinga wa hali ya juu sana kuwahi kutokea!.Tunataka Abdul ahukuwe kwa kutoa rushwa.
Nasikia ulikuwa Iraq kusimamia kupitisha sheria ya kuoa watoto wa miaka 9. Aibu!Hivi kweli chama kinachoshindwa kulipa 50m TZS za ukumbi wa mikutano kinawezaje kuwa muhimu na kusimamisha uchaguzi usifanyike? Kivipi yaani?
Kwanza miaka yote mliyokuwa wabunge na mnabugia ruzuku kwani katiba gani ilikuwa inatumika? Halafu mchakato wa katiba si mliuvuruga na wahuni wenzenu wa UKAWA au?πππ
We Jamaa ni Chizi kumbe.