Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Wanaahirisha kufikiri kizalendo a .k.a kujizima data, watawasha tu hizo dataMajizi ya kura hata aibu hamna. Toka lini kuongea mambo bora ya nchi yetu ilianza kuwa shida?
Ni mtu Mwizi tu Anaweza kukataa tume huru ya uchaguzi.
Lissu. alisema wanachama watachanga hela na kuendesha chama!.. Kwani kuna shida gani tena hawachangi!Nasikia ulikuwa Iraq kusimamia kupitisha sheria ya kuoa watoto wa miaka 9. Aibu!
Wasira yupi unayemzungumzia azungumze na Lisu, Wasira Hana cha kumueleza Lisu.Tundu Lissu kasema kukaa na kuongea na mzee Wasira ni kupoteza muda..
hakuna muda wa kuongea watu wako bize na kuaandaa ilani na kujipanga na uchaguzi
Trump amesimamisha misaada yote mpaka wafanye mapitio na kuhakikisha kuwa kila nchi inafuata kanuni zinazoendana na misaada. Maushungi ajitayarishe.Kama hamjajipanga na uchaguzi wa Oktoba 2025 mna hiyari ya kukaa pembeni mtakuja kushiriki siku zijazo kama mtakuwa bado mko hai lakini eti Tanzania isifanye uchaguzi kisa UFIPA wanataka katiba mpya ni ujinga wa hali ya juu sana kuwahi kutokea!.
Nasikia ulikuwa Iraq kusimamia kupitisha sheria ya kuoa watoto wa miaka 9. Aibu!Lissu. alisema wanachama watachanga hela na kuendesha chama!.. Kwani kuna shida gani tena hawachangi!
Lema aliongea kwa ushujaa sana kuwa Mbowe hana lolote na chama hakitegemei mtu mmoja na fedha zake!
Halafu kwa hali hii ndiyo mshindane na CCM? Yaaani milioni 50 zinawatoa jasho hivi 😁😁
Yaani kwa akili zako za kawaida tu unaamini kuwa hakuna uchaguzi mwaka huu!? Kalieni huo ujinga wa No Reform No Election muone!..Wasira yupi unayemzungumzia azungumze na Lisu, Wasira Hana cha kumueleza Lisu.
CCM ipo madarakani kwa sababu tu ya msaada wa jeshi la polisi
Tukiwaambia huyu mtu kichwa yake siyo nzuri hamsikii!..>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Hivi kweli chama kinachoshindwa kulipa 50m TZS za ukumbi wa mikutano kinawezaje kuwa muhimu na kusimamisha uchaguzi usifanyike? Kivipi yaani?
Yaani kwa akili zako za kawaida tu unaamini kuwa hakuna uchaguzi mwaka huu!?
Kwanza hana hadhi ya kuongea na WasiraTundu Lissu kasema kukaa na kuongea na mzee Wasira ni kupoteza muda..
hakuna muda wa kuongea watu wako bize na kuaandaa ilani na kujipanga na uchaguzi
Wewe punguani kweli unataka nikujibu unavyotaka wewe?Wewe mtu kichwa chako ni kibovu? Naona unajibu vitu ambavyo sivioni kwenye mjadala unaozungumziwa kwa wakati husika
nimesikia Lissu, anasema wanataka kuonana na Rais kuzungumza! Yaani mnazungumza nini? Wakati wa mazungumzo si mlisusa nyie au? Yaani watu wanajiandaa na uchaguzi nyie mnataka kuzungumza? Subirini Oktoba 2925 uchaguzi uishe ndiyo mzungumze sasa hivi hakuna cha kuzungumza watu wanajipanga na uchaguzi au!..Kwanza hana hadhi ya kuongea na Wasira
Wewe kwanini unapost sasa huu Uzi??Wanaukumbi.
KUONGEA KUHUSU NINI?
Yaani Lissu, anachekesha sana. Yaani mnataka kuingia serikalini kwa mlango wa nyuma. Nyie mnataka kuongea subirini uchaguzi uishe mwezi Oktoba 2025 kwa sasa hakuna muda wa kuongea watu wako bize na kuaandaa ilani na kujipanga na uchaguzi
Juzi tu ulikuwa anamponda Mbowe kwa nini amekutana na Rais Samia. Wewe umechaguliwa juzi tu unataka kuongea na Rais Samia, muongee nini?
Mnataka kususia uchaguzi eti 'No Elections, No Reforms', mnampa nani hii amri?
Tuna vyama zaidi ya 15 nchi hii, msiposhiriki nyie uchaguzi wengine watashiriki na serikali itaundwa kama kawaida.