Wanaukumbi.
Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..
Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..
Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.
Naona umepata kitu cha kusheherekea baada ya Magaidi yako kungamizwa kote Duniani na hii pia utaangukia pua tu.Endeleeni na ujinga wenu na Maria eti No Reform No Election 😁
Halafu Heche yuko wapi kwani? Makamu Mwenyekiti muoga balaa ,nguvu ziko mdomoni tu kwenye kuongea lakini kuandamana aaah 😁
Kuna Mwamba niliyekuwa ninamuamini kuwa ni Mzee wa hizi kazi ataweza kupambana na Lissu kwenye ulingo wa sheria hakufanikiwa hata mara moja badala yake akaona tiba ni risasi 16 ambazo pia HAZIKUFUA DAFU. Sijui baadae yule mwamba alipotelea wapi?Mkaiambie mahakama sasa hapa mnatupigia kelele tu!..
Tuliwaambia mnampa mwendawazimu chama itawagharimu sana hamkuwa wasikivu!Kuna Mwamba niliyekuwa ninamuamini kuwa ni Mzee wa hizi kazi ataweza kupambana na Lissu kwenye ulingo wa sheria hakufanikiwa hata mara moja badala yake akaona tiba ni risasi 16 ambazo pia HAZIKUFUA DAFU. Sijui baadae yule mwamba alipotelea wapi?
Umejaribu kusoma vizuri lkn au umeandika chochote.Tuliwaambia mnampa mwendawazimu chama itawagharimu sana hamkuwa wasikivu!
Mnampa Maria Sarungi chama afanye harakati haya ndiyo madhara yake sasa!.
Tuliwaambia Lussu kichwani hamna kitu hamkusikia! Mngejipa muda kusikiliza upuuzi aliofanya akiwa Rais wa TLS mngeelewa!..
Kama hawana sifa ya kushiriki uchaguzi maana yake;
1. Wasitupigie kelele kufanya mikutano na vurugu maana hawahusiki na uchaguzi
2. Hawana uhalali wa kufanya mikutano maana hakuna kura wanazoomba zaidi ya kufanya vurugu tu
3. Wakafanye harakati mpaka 2030 kwa kuwa sasa hawana nia ya kufanya siasa na kushiriki uchaguzi
Haya sasa tukutane 2030 😁😁
Walikuepo Sana hata enzi za kupambania uhuru wa Tanganyika Kuna walio tamani tusipate uhuru mapema sababu walikua na maslahi binafsi na wakoloni.Unakuta mtu ana maslahi binafsi na ccm ameajiriwa huko anakula na kushiba, anakuja kujamba ushuzi humu, anakuwa kinyume na upatikanaji wa haki katika chaguzi kwa kuwa yeye kashiba mataptapu ya huko anakotumika kusigina wapambamaji wa haki
Tuliwaambia mnampa mwendawazimu chama itawagharimu sana hamkuwa wasikivu!
Mnampa Maria Sarungi chama afanye harakati haya ndiyo madhara yake sasa!.
Tuliwaambia Lussu kichwani hamna kitu hamkusikia! Mngejipa muda kusikiliza upuuzi aliofanya akiwa Rais wa TLS mngeelewa!..
Kama hawana sifa ya kushiriki uchaguzi maana yake;
1. Wasitupigie kelele kufanya mikutano na vurugu maana hawahusiki na uchaguzi
2. Hawana uhalali wa kufanya mikutano maana hakuna kura wanazoomba zaidi ya kufanya vurugu tu
3. Wakafanye harakati mpaka 2030 kwa kuwa sasa hawana nia ya kufanya siasa na kushiriki uchaguzi
Haya sasa tukutane 2030
Hawa ndiyo viongozi wapya wa Chadema😂>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Uchawa tuWanaukumbi.
Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..
Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..
Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.
Je kuiba kura sio uhaini?Wanaukumbi.

Umeandika mavi tupu. Mwenyewe unaona n nondoMpigania uhuru husimamia kile anachokisema
Lisu tapeli na wanaomsikiliza akili hawana
Fikiria anasema ataamusha uasi akihutubia akifika mahakamani akiulizwa anasema sikusema mimi.Anakana.
Hivi kuna mwanasiasa hapo?
Mwanasiasa wa kweli husimamia alichokisema.Lisu hamna Chadema utasikia huyo ndio Mandela wetu.Mandela alisimamia alichotamka nje na mahakamani akasimama nacho.
Lisu anachosema nje akiwekwa mahakamani anakana Mandela koko huyo