PostGE2025 Lissu uso kwa uso na Sugu. Amwagiza akamtembelee gerezani, Sugu ajitetea

PostGE2025 Lissu uso kwa uso na Sugu. Amwagiza akamtembelee gerezani, Sugu ajitetea

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwa ndani ya chumba cha Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam leo Novemba 12, 2025 akiteta jambo na John Heche, Said Kubenea (aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA na Mbunge Mstaafu wa Ubungo kupitia chama hicho). sauti ya Lissu imesikika ikisema "Haujanitembelea Gerezani"​
 
Sugu gani huyu huyu mwanafunzi wake makengeza!! huyo alikua anawaza ubunge tu, alikua anaumia sana na uwepo wa kampeni ya NRNE, alishindwa kuhama chama kwa kuwa anaijua nguvu ya chadema mbeya, ila alichokiona kwenye uchafuzi wa 29_october imembidi sasa akubaliane na hoja za lissu-NUKUTA
 
Back
Top Bottom