Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Hapo ndio namkubali sana Lisu. Na kitendo cha Lisu kujitetea mwenyewe kwenye hii kes i, kumeondoa uwezekano wa vishoka kwenye hii kesi na gharama nyingi za mchongo.
Huu ujumbe wa Lisu kwa sugu umemfikia hadi Mbowe. Na uzuri hadi sasa Lisu anafanya vizuri kwenye kujitetea, na jamii iko naye, na umma juzi umecheza na spirit ya Lisu.