The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Hakuna chombeza ya hivyoNi chombeza tu maana kufika tu hapo ni kumtembela tosha.
Kazi na utu tunasonga mbele ๐๐Umeona eh! Ndiyo maana limeweka picha ya demu. Block takataka
Hata wewe ni takataka vile vileTakataka ๐ฎ
"UTU" wa kuua waTanzania; huo ni ushetani.Kazi na utu tunasonga mbele ๐๐
Sidhani,mbona amemjibu kwamba kafanya several attempts kumuona ila kazuiwa sababu sijui wajomba na ndugu wengine wameshaendaSugu kaona aibu